Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUMBE DIAMOND ALIFANYA NYIMBO ISHIRINI KABLA YA KUTOKA

Diamond kabla ya mafanikio.
 Kampuni ya Coca-Cola Afrika ya Kati, Mashariki na Magharibi imezindua kampeni mahsusi ijulikanayo kama ‘Sababu Bilioni za Kuamini’ inayolenga kuwahamasisha vijana wa Kitanzania kujiamini pindi wanapopita katika changamoto mbalimbali zinazowakabili kimaisha kabla ya kutimiza ndoto zao. Kampeni hiyo ya miezi mitatu itaendeshwa nchi nzima.Nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ni miongoni mwa vijana wanaotolewa mfano katika dhana hii. Alitengeneza single...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NYIMBO MPYA YA MSANII CHIPUKIZI KUTOKA MKOA WA MBEYA SJ IITWAYO KUMBE MAPENZI

Tone Multimedia Group Kupitia Mtandao wetu wa Mbeya yetu Blog tumezimia kuanza kuwasaidia wasanii Chipukizi kutoka Mkoa wa Mbeya na Mikoa mingine ya Jirani kimuziki kwa Kutambulisha kazi zao mbalimbali ili wadau pia mpate kuwafahamu.Tunaanza kumtambulisha kwenu Msanii wa nyimbo za kizazi kipya yaani Bongo Flava kwa jina lake halisi ni Shuku na jina la kisanii anaitwa SJ kijana ambaye yupo chini ya Mdhamini wake Mkuu Jacob Mwaisango ambaye aliona kipaji chake na kuamua kumsaidia kwa Hali na...

 

9 years ago

Bongo5

Diamond kuachia nyimbo 3 kabla mwaka haujaisha

Diamond Platnumz amedai kuwa kabla mwaka huu haujaisha atakuwa ameachia nyimbo 3 mpya. Diamond alisema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni wakati ya mapokezi yake katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea Marekani alikoshinda tuzo za Afrimma. “Nimeuambia uongozi kabla ya mwezi wa kwanza hapa […]

 

10 years ago

CloudsFM

Du! Kumbe Ngasa alifanya sherehe baada ya ndoa yake kutimiza mwezi mmoja

Haikuwahi kuandikwa kumbe mshambuliaji wa klabu ya soka ya Yanga,Mrisho Ngasa alifanya sherehe baada ya ndoa yake ya pili aliyoifunga mwishoni mwa mwaka jana kutimiza mwezi mmoja.Picha aliyoipost mchezaji mwezake Jeryson Tegete mwezi miezi miwili iliyopita ilimwonyesha Ngasa akiwa na mkewe wakiwa wameshika keki huku iliambatana na maneno haya ……tegete_jerson Hongereni Mr and Mrs Ngasa kwa kutimiza mwezi katika ndoa yenu...waone wenyewe kama tom and jerry hahahahaha@mrishongasanishmer...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond kuachia nyimbo 4 mfululizo kabla ya March, ikiwemo collabo yake na Fally Ipupa

Mwaka jana mwishoni (2014) baada ya Diamond kukutana na wasanii wakubwa wa Afrika wakiwemo Fally Ipupa na P-Square nchini Nigeria, alisema “nikikutana na 18 huwa naachia bonge la shuti mpaka nishinde” na kauli yake imetimia. Staa huyo wa ‘Ntampata Wapi’ amefanikiwa kufanya collabo na staa wa DRC, Fally Ipupa ambayo ni miongoni mwa nyimbo nne […]

 

9 years ago

Bongo5

Zaiid adai alifanya cover ya Trap Queen kudhihirisha kuwa si mwandishi wa nyimbo ngumu tu (Video)

Rapper Zaiid amedai kuwa aliamua kufanya cover ya wimbo wa Fetty Wap, Trap Queen kudhihirisha uwezo wake wake katika kufanya ngoma za aina tofauti na watu walivyomzoea. “Kwa familia ambayo imenizunguka mimi tunaitwaga hardcore, hatuwezi kufanya aina nyingine ya muziki,” Zaiid ameiambia Bongo5. “Lakini mara nyingi mimi huwa nawaambia watu kuwa nimechagua kufanya hip hop, […]

 

10 years ago

Bongo5

Nyimbo 2 za Nicki Minaj zavuja siku chache kabla ya album yake kutoka, moja ni collabo yake na Beyonce (zisikilize)

Ikiwa ni siku 4 zimesalia kabla album ya Nicki Minaj iitwayo ‘The Pinkprint’ itoke, nyimbo mbili kutoka kwenye album hiyo zimevuja. Moja ya nyimbo hizo ni collabo yake na Beyonce ‘Feeling Myself’, wimbo ambao wote wawili wamezungumzia mafanikio yao. Wimbo mwingine uliovuja kutoka kwenye album hiyo ni ‘Get On Your Knees’ aliomshirikisha Ariana Grande. The […]

 

9 years ago

Bongo5

BASATA ianze kukagua nyimbo kabla hazijatoka — Roma

Roma Mkatoliki amelishauri baraza la sanaa la taifa, BASATA kuunda kutengo cha kukagua nyimbo kabla hazijatoka. Hivi karibuni baraza hilo liliufungia wimbo wake mpya, Viva Roma kwa madai una matusi na unatukana viongozi. Roma ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa ili kwenda sawa na BASATA wanatakiwa kuunda chombo cha ukaguzi wa kazi za wasanii […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani