Zaiid adai alifanya cover ya Trap Queen kudhihirisha kuwa si mwandishi wa nyimbo ngumu tu (Video)
Rapper Zaiid amedai kuwa aliamua kufanya cover ya wimbo wa Fetty Wap, Trap Queen kudhihirisha uwezo wake wake katika kufanya ngoma za aina tofauti na watu walivyomzoea. “Kwa familia ambayo imenizunguka mimi tunaitwaga hardcore, hatuwezi kufanya aina nyingine ya muziki,” Zaiid ameiambia Bongo5. “Lakini mara nyingi mimi huwa nawaambia watu kuwa nimechagua kufanya hip hop, […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo517 Jul
New Music: Zaiid — Madebe (Trap Queen Cover)
10 years ago
Bongo528 Oct
Video: Jason Derulo afanya ‘live cover’ ya wimbo wa Fetty Wap ‘Trap Queen’
11 years ago
Bongo501 Aug
Madee adai muziki umekuwa mgumu kutokana na nyimbo kuwa nyingi
9 years ago
Bongo502 Dec
Msechu akiri kuwa yeye si mwandishi mzuri, afungua milango kwa yeyote kumwandikia nyimbo zake

Peter Msechu ni miongoni mwa wasanii wachache ambao hawaoni shida kukiri kuwa si wazuri kwenye upande wa uandishi wa nyimbo, licha ya kuwa na kipaji na uwezo mkubwa wa kuimba na kucheza vyombo vya muziki.
Baadhi ya wasanii (wa Bongo) huwa hawapendi kusema ukweli pale wanapoandikiwa nyimbo na wasanii wengine, kwa kudhani watu wakijua wameandikiwa inaweza kuwapunguzia thamani.
Msechu ambaye ameachia wimbo mpya wiki iliyopita, amesema kuwa baada ya kugundua kuwa sio mzuri kwenye upande wa...
9 years ago
Bongo509 Nov
Lollypop adai bado hajaifanya kazi ya kuandikia wasanii nyimbo kuwa rasmi

Mtayarishaji wa muziki na mtunzi wa nyimbo, Lollypop, amesema bado hajaamua kuifanya kazi ya kuwaandikia wasanii nyimbo kuwa rasmi.
Akizungumza katika kipindi cha 5T40 cha Radio 5 ya Arusha, Lollypop alisema wasanii wengi aliofanya nao kazi ni watu wake wa karibu.
“Mimi kuandika kwanza sio kazi official, huwa naandika kuna situation zinatokea na zinanibidi niandike na naandika na watu ambao tuko close sana,” alisema. “Haitokeagi tu nakaa naanza kuandika nyimbo mtu anakuja ananilipa...
10 years ago
Vijimambo
KUMBE DIAMOND ALIFANYA NYIMBO ISHIRINI KABLA YA KUTOKA

Kampuni ya Coca-Cola Afrika ya Kati, Mashariki na Magharibi imezindua kampeni mahsusi ijulikanayo kama ‘Sababu Bilioni za Kuamini’ inayolenga kuwahamasisha vijana wa Kitanzania kujiamini pindi wanapopita katika changamoto mbalimbali zinazowakabili kimaisha kabla ya kutimiza ndoto zao. Kampeni hiyo ya miezi mitatu itaendeshwa nchi nzima.Nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ni miongoni mwa vijana wanaotolewa mfano katika dhana hii. Alitengeneza single...
10 years ago
Bongo524 Jun
New Music: Gelly wa Rhymes- Trap Queen
10 years ago
Bongo510 Oct
Kala Jeremiah adai nyimbo zake haziitaji kusafiri nje kufanya video
10 years ago
Vijimambo
TAZAMA VIDEO YA DAVIDO AKIMPONDA DIAMOND KUWA NYIMBO ZAKE HAZIPIGWI WIKI HII ALIPOKUWA KENYA

When asked by Larry whether East African music receives airplay in Nigeria, Davido gave a brutally honest NO. He even admitted that this collabo with Diamond ‘Number One’ is not played in Nigeria. As true as it may be, that came out badly from a guy who was about to perform in Kenya.