Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music: Zaiid — Madebe (Trap Queen Cover)

Baada ya Gelly wa Rhymes kufanya cover yake ya wimbo wa msanii wa Marekani, Fetty Wap, ‘Trap Queen’, rapper Zaiid naye amekuja na ya kwake iitwayo Madebe. Ni kali. Isikilize. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Zaiid adai alifanya cover ya Trap Queen kudhihirisha kuwa si mwandishi wa nyimbo ngumu tu (Video)

Rapper Zaiid amedai kuwa aliamua kufanya cover ya wimbo wa Fetty Wap, Trap Queen kudhihirisha uwezo wake wake katika kufanya ngoma za aina tofauti na watu walivyomzoea. “Kwa familia ambayo imenizunguka mimi tunaitwaga hardcore, hatuwezi kufanya aina nyingine ya muziki,” Zaiid ameiambia Bongo5. “Lakini mara nyingi mimi huwa nawaambia watu kuwa nimechagua kufanya hip hop, […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Jason Derulo afanya ‘live cover’ ya wimbo wa Fetty Wap ‘Trap Queen’

Muimbaji wa R&B, Jason Derulo amefanya cover ya ngoma ya rapper Fetty Wap ‘Trap Queen’ kwenye kipindi cha Live Lounge cha BBC Radio 1. Mtazame hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Gelly wa Rhymes- Trap Queen

Gelly wa Rhymes ameamua kuonesha uwezo wake wa kuchana kwenye ngoma hii Trap Queen. Isikilize. Related Tags:

 

10 years ago

Bongo5

New Music: KK f/ Zaiid — Defiant

Rapper Khalid Kumbuka aka KK ameachia single mpya aliyomshirikisha Zaiid iitwayo ‘Defiant’. Kwa sasa yupo kwenye maandalizi ya EP yake.

 

9 years ago

Bongo5

Music: ZaiiD, Songa & P The MC – Mabadiliko

Wimbo mpya wa rapper ZaiiD,Songa na P The MC inaitwa “Mabadiliko” Producer Paul Loops Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Quick Rocka’s – Queen

image1

Wimbo mpya wa msanii Quick Rocka’s unaitwa “Queen” baada ya kuchia video hii ndo audio ya wimbo huo umefanyika katika studio za Switcher

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Lady Queen — In My Bed

Wimbo mpya wa msanii Lady Queen unaitwa “In My Bed” Producer Kitaa Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Mwasiti Ft Queen Darleen – Sema Nae

artist_121bcd964eb23c68f2bb90d5a45f4df6130.jpg

Msanii wa kike wa bongo fleva Mwasiti baada ya kufanya vizuri na wimbo wa “Serebuka” ametuletea single mpya inaitwa “Sema Nae” ameamshirikisha Mwanadada mwenzake Queen Darleen. Wimbo umetaalishwa na Producer Lufa & Chizain Brain Studio:Switch Records

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani