Lollypop adai bado hajaifanya kazi ya kuandikia wasanii nyimbo kuwa rasmi
Mtayarishaji wa muziki na mtunzi wa nyimbo, Lollypop, amesema bado hajaamua kuifanya kazi ya kuwaandikia wasanii nyimbo kuwa rasmi.
Akizungumza katika kipindi cha 5T40 cha Radio 5 ya Arusha, Lollypop alisema wasanii wengi aliofanya nao kazi ni watu wake wa karibu.
“Mimi kuandika kwanza sio kazi official, huwa naandika kuna situation zinatokea na zinanibidi niandike na naandika na watu ambao tuko close sana,” alisema. “Haitokeagi tu nakaa naanza kuandika nyimbo mtu anakuja ananilipa...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo501 Aug
Madee adai muziki umekuwa mgumu kutokana na nyimbo kuwa nyingi
10 years ago
Bongo518 Sep
Zaiid adai alifanya cover ya Trap Queen kudhihirisha kuwa si mwandishi wa nyimbo ngumu tu (Video)
9 years ago
Bongo517 Nov
P-Funk adai ‘CMEA’ itahakikisha wasanii wananufaika na kazi zao

Kampuni ya kusimania haki miliki za wasanii Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) imesema kasi mpya ya Rais Dk John Pombe Magufuli inaonesha matumaini mapya kwa wasanii.
Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni mkurugenzi mkuu wa CMEA, Paul Matthysse aka P-Funk alisema sheria za haki miliki zipo vizuri lakini tatizo ni utekelezaji.
“Sisi tunaimani sana na Rais mpya kwa kasi aliyoanza nayo. Tatizo lililopo siyo sheria tatizo ni utekelezaji. Mimi kama CEO wa CMEA niko mstari wa mbele...
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Prof, Jay bado alia wizi kazi za wasanii
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, bado anaendelea kuumizwa na wizi wa kazi za wasanii huku akidai kwamba mamlaka husika zimeshindwa kutatua tatizo hilo. Profesa...
10 years ago
Bongo522 Oct
Sugu adai matarajio kuwa angesaidia wasanii ilikuwa changamoto kubwa kwake
10 years ago
Bongo528 Sep
Mona G adai nguvu inayotumika kuwaadhibu wasanii wanapokosea, itumike pia kulinda kazi zao
11 years ago
Michuzi
WEZI WA KAZI ZA WASANII KUKIONA,KAMATA KAMATA YAANZA RASMI

Mkurugenzi wa kampuni hiyo,Bwana Alex Msama amesema hayo jijini dar ,kuwa zoezi hilo limekwishaanza, na mpaka sasa wamekamatwa vijana wane katika mkoa wa Dodoma na watatu jijini Mwanza.
‘’Kuna kazi mbalimbali ambazo zinaibiwa kila kukicha huku wamiliki wa kazi hizo wakiendelea kushuka...
11 years ago
Dewji Blog02 Oct
Rais Kikwete kuwa Mgeni rasmi katika Kikao cha kazi cha Usimamizi na Uendeshaji wa Elimu Msingi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI Mhe. Hawa A. Ghasia akiwakaribisha wajumbe wa Kikao kazi cha Usimamizi na Uendeshaji wa Elimu Msingi kinachofanyika katika ukumbi wa Chimwaga, Chuo Kikuu cha Dodoma kuanzia tarehe 01-03 Oktoba, 2014. Lengo la kikao hicho ni kuainisha Mafanikio na Changamoto katika utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa katika Sekta ya Elimu.
Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kwa kushirikiana na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo wameandaa kikao cha kazi kuhusu...
10 years ago
Bongo510 Oct
Kala Jeremiah adai nyimbo zake haziitaji kusafiri nje kufanya video