Du! Kumbe Ngasa alifanya sherehe baada ya ndoa yake kutimiza mwezi mmoja
Haikuwahi kuandikwa kumbe mshambuliaji wa klabu ya soka ya Yanga,Mrisho Ngasa alifanya sherehe baada ya ndoa yake ya pili aliyoifunga mwishoni mwa mwaka jana kutimiza mwezi mmoja.
Picha aliyoipost mchezaji mwezake Jeryson Tegete mwezi miezi miwili iliyopita ilimwonyesha Ngasa akiwa na mkewe wakiwa wameshika keki huku iliambatana na maneno haya ……tegete_jerson Hongereni Mr and Mrs Ngasa kwa kutimiza mwezi katika ndoa yenu...waone wenyewe kama tom and jerry hahahahaha@mrishongasanishmer...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
KUMBE DIAMOND ALIFANYA NYIMBO ISHIRINI KABLA YA KUTOKA

Kampuni ya Coca-Cola Afrika ya Kati, Mashariki na Magharibi imezindua kampeni mahsusi ijulikanayo kama ‘Sababu Bilioni za Kuamini’ inayolenga kuwahamasisha vijana wa Kitanzania kujiamini pindi wanapopita katika changamoto mbalimbali zinazowakabili kimaisha kabla ya kutimiza ndoto zao. Kampeni hiyo ya miezi mitatu itaendeshwa nchi nzima.Nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ni miongoni mwa vijana wanaotolewa mfano katika dhana hii. Alitengeneza single...
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Kumbe Ngasa alikopa kuilipa Simba!
WANACHAMA wa klabu ya Yanga wameuomba uongozi wao wamchangie kulipa deni mshambuliaji wao, Mrisho Ngasa, baada ya kukopa katika moja ya benki hapa nchini kuwalipa Simba. Ngasa alikopa sh milioni...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Mhe. Vicky Kamata aibuka na wimbo mpya wa "Moyo wa mtu kichaka" baada ya mikasa yake ya kuugua ghafla kabla ya ndoa yake
10 years ago
BBCSwahili10 May
Ngasa kujiunga na Free State mwezi July
9 years ago
Bongo524 Nov
Baada ya kurudiana Kylie Jenner athibitisha kuwa ndoa yake na Tyga inakuja

Baada ya kudaiwa kuachana siku chache zilizopita, rapper Tyga na mrembo kutoka kwenye familia maarufu ya The Kardashians, Kylie Jenner walionekana pamoja baada ya tuzo za ‘American Music Awards’ Jumapili iliyopita, ikiashiria kuwa wamemaliza matatizo waliyokuwa nayo.
Tyga aliyekuwa amevaa suti ya blue pamoja na Kylie aliyekuwa amevaa kivazi cheupe walionekana wakiwa wameshikana mikono baada ya tuzo hizo.
Wakati wakipanda gari ili kuelekea kwenye after party ya Justin Bieber, paparazzi...
11 years ago
Bongo516 Aug
Tunda Man aahirisha kufunga ndoa hadi mwakani baada kuuguliwa na mama yake
10 years ago
Bongo519 Oct
Ommy Dimpoz kutimiza ahadi ya kuachia album mwezi December
10 years ago
GPLVIJANA WA JOGGING WASHEREHEKEA KUTIMIZA MWAKA MMOJA