Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhe. Vicky Kamata aibuka na wimbo mpya wa "Moyo wa mtu kichaka" baada ya mikasa yake ya kuugua ghafla kabla ya ndoa yake

Mh. Vicky Kamata aliwasili Bungeni Dodoma na kama ilivyo ada alipokewa vizuri na kila mbunge aliyekutana nae.  Wabunge wengi walimpa pole baada ya kuugua siku chache kabla ya ndoa yake na kumtakia kila la kheri, huku wengi wakiamini kilichotokea ni mpango wa Mungu na kua Ndoa yake ipo na itakuwepo siku yoyote Mungu akiamua kulitimiza kusudi lake juu ya Mh. Vicky Kamata..   Wakati wabunge wengi wakimuhurumia na kudhani kua kutofungwa kwa ndoa yake kungemgharimu siku nyingi kurudi katika hali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Sijavuruga ndoa ya Vicky Kamata’

Suala la kukwama kufungwa kwa ndoa ya Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata limechukua sura mpya baada ya mzazi mwenza wa mchumba wa mbunge huyo, kukanusha taarifa kwamba alikwenda Dodoma kwa lengo la kuomba msaada kwa viongozi wa Bunge.

 

11 years ago

GPL

SABABU 3 NDOA YA VICKY KAMATA KUYEYUKA

Stori: WAANDISHI WETU Hadi gazeti hili linaondoka kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mkombozi, Sinza jijini Dar juzi saa 10:00 jioni, ndoa ya Mbunge Vicky Kamata iliyokuwa ifungwe hapo iliyeyuka.
Vicky Kamata ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya UVCCM, Mkoa wa Geita alikuwa afunge ndoa na mwanaume aliyejulikana kwa jina la Charles wa jijini Dar. Vicky Kamata akiwa katika  pozi na mwanaume...

 

11 years ago

GPL

NDOA YA MIL. 96 YA VICKY KAMATA HATIHATI KUFUNGWA

Stori: mwandishi wetu
ILE ndoa inayodaiwa ikifungwa harusi yake itatafuna shilingi milioni 96 kati ya Mbunge wa Viti Maalum Geita kwa tiketi ya CCM, Vicky Paschal Kamata na mwanaume aliyejulikana kwa jina la Charles iko katika hatihati ya kufungwa kutokana na kuibuka kwa mizengwe. Vicky Paschal Kamata. Habari za ndani zinadai kuwa mizengwe iliyoibuka katika hatua za mwisho zimemfanya mwanaume huyo kuamua kubatilisha ndoa...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe Vicky Kamata atoa baiskeli 500 kwa wanawake wa mkoa wa Geita

 Katika kutambua na kudhamini juhudi za Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulahman  Kinana katika kukuiimarisha chama Mbunge wa Viti Maalumu  Mhe. Vicky Kamata amejitolea kutoa baiskel 500  kwa wanawake wa Umoja wa Wanawake wa mkoa mzima wa Geita ambapo  Wanawake hao watatumia baiskel hizo kukuiimarisha chama. Pichani Mhe Kamata akipongezwa kwa moyo wake huo Baiskeli alizotoa Mhe Vick Kamata mkoani Geita Mhe. Vicky Kamata akihutubia umati wa wananchi kwenye mkutano huo wa hadhara mkoani GeitaKatibu...

 

10 years ago

CloudsFM

Baada ya kuugua kwa miezi kadhaa,mama yake Diamond aendelea vizuri

Mama mzazi wa Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', Sanura Kassim 'Sandra', amerejeshwa Bongo kutoka India ambapo afya yake imetengemaa. Habari kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya familia ya jamaa huyo, kililieleza gazeti hili kwamba, tayari Sandra amesharejea katika hali yake ya kawaida na ndiyo maana akarudi Bongo baada ya kulazwa hospitalini nchini India kwa kusumbuliwa na ugonjwa wa kupooza.
Mwanafamilia huyo alisema kwamba, Diamond na mama yake walirejea nchini...

 

11 years ago

CloudsFM

VICK KAMATA AUGUA GHAFLA, KUTOFUNGA NDOA KESHO

ile ndoa ya Mh.Vick Kamata na mchumba wake wa siku nyingi aitwaye Charles iko ambayo ilitarajiwa kufungwa kesho imeshindikana baada ya Mheshimiwa huyo kuugua ghafla jana usiku na kukimbizwa hospitalini.Kwa mujibu wa Daktari wake ambaye amezungumza na Clouds fm alisema kuwa Vick Kamata alipelekwa katika hospitali hiyo akiwa katika hali isiyoridhisha kwani alikuwa akitapika na kwamba ujauzito wake ulikuwa ukiashiria kutoka hali ilimfanya alazwe katika hospitali hiyo iliyopo maeneo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani