Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhe Vicky Kamata atoa baiskeli 500 kwa wanawake wa mkoa wa Geita

 Katika kutambua na kudhamini juhudi za Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulahman  Kinana katika kukuiimarisha chama Mbunge wa Viti Maalumu  Mhe. Vicky Kamata amejitolea kutoa baiskel 500  kwa wanawake wa Umoja wa Wanawake wa mkoa mzima wa Geita ambapo  Wanawake hao watatumia baiskel hizo kukuiimarisha chama. Pichani Mhe Kamata akipongezwa kwa moyo wake huo Baiskeli alizotoa Mhe Vick Kamata mkoani Geita Mhe. Vicky Kamata akihutubia umati wa wananchi kwenye mkutano huo wa hadhara mkoani GeitaKatibu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mhe. Vicky Kamata aibuka na wimbo mpya wa "Moyo wa mtu kichaka" baada ya mikasa yake ya kuugua ghafla kabla ya ndoa yake

Mh. Vicky Kamata aliwasili Bungeni Dodoma na kama ilivyo ada alipokewa vizuri na kila mbunge aliyekutana nae.  Wabunge wengi walimpa pole baada ya kuugua siku chache kabla ya ndoa yake na kumtakia kila la kheri, huku wengi wakiamini kilichotokea ni mpango wa Mungu na kua Ndoa yake ipo na itakuwepo siku yoyote Mungu akiamua kulitimiza kusudi lake juu ya Mh. Vicky Kamata..   Wakati wabunge wengi wakimuhurumia na kudhani kua kutofungwa kwa ndoa yake kungemgharimu siku nyingi kurudi katika hali...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge Vicky Kamata augua

>Ni matukio nadra kutokea katika maisha, lakini haya ndiyo yaliyomkuta Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata, baada ya kuugua ghafla saa 36 kabla ya harusi yake.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Sijavuruga ndoa ya Vicky Kamata’

Suala la kukwama kufungwa kwa ndoa ya Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata limechukua sura mpya baada ya mzazi mwenza wa mchumba wa mbunge huyo, kukanusha taarifa kwamba alikwenda Dodoma kwa lengo la kuomba msaada kwa viongozi wa Bunge.

 

11 years ago

GPL

VICKY KAMATA AFANYIWA SHEREHE

Stori: Musa mateja BAADA ya kimya kirefu tangu ndoa iliyopagwa kufungwa kati yake na Charles Pai kuyeyuka, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha vijana Mkoa wa Geita, Vicky Kamata ameibuka na kufunguka mambo mengi lakini kubwa ni kwamba, amefanyiwa sherehe. Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha vijana Mkoa wa Geita, Vicky Kamata akiwa Bungeni. Akizungumza na Risasi Jumamosi, juzi Alhamisi kwa njia ya simu akiwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Vicky Kamata adakwa polisi

Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata

Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata

MBUNGE wa Viti Maalumu, Vicky Kamatta (CCM), amekamtwa na Polisi Mkoa wa Dodoma kwa tuhuma za kuwatumia ujumbe mfupi wa simu za matusi wabunge wenzake.

Chanzo ncha kuaminika kutoka mjini Dodoma kiliambia MTANZANIA kuwa kwa kipindi cha miezi kadhaa Vicky amekuwa akituma sms za matusi kwa wabunge wenzake wa viti maalumu kupitia CCM, Catherine Magige na Lucy Mayenga ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Uyui.

Taarifa zaidi zinasema kuwa wabunge hao walikuwa...

 

11 years ago

GPL

HARUSI YA VICKY KAMATA MIL. 96

Na Mwandishi Wetu HAYAWI…hayawi sasa yamekuwa! Habari ya mjini ni maandalizi kabambe ya harusi ya staa wa Bongo Fleva na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha Vijana Mkoa wa Geita, Vicky Pascal Kamata ikidaiwa kuwa shughuli hiyo itatafuna kiasi cha Sh. milioni 96, Ijumaa lina mkanda kamili. Staa wa Bongo Fleva na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha Vijana Mkoa wa Geita, Vicky Pascal Kamata akiwa na mchumba wake...

 

11 years ago

GPL

SABABU 3 NDOA YA VICKY KAMATA KUYEYUKA

Stori: WAANDISHI WETU Hadi gazeti hili linaondoka kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mkombozi, Sinza jijini Dar juzi saa 10:00 jioni, ndoa ya Mbunge Vicky Kamata iliyokuwa ifungwe hapo iliyeyuka.
Vicky Kamata ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya UVCCM, Mkoa wa Geita alikuwa afunge ndoa na mwanaume aliyejulikana kwa jina la Charles wa jijini Dar. Vicky Kamata akiwa katika  pozi na mwanaume...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani