‘Sijavuruga ndoa ya Vicky Kamata’
Suala la kukwama kufungwa kwa ndoa ya Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata limechukua sura mpya baada ya mzazi mwenza wa mchumba wa mbunge huyo, kukanusha taarifa kwamba alikwenda Dodoma kwa lengo la kuomba msaada kwa viongozi wa Bunge.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSABABU 3 NDOA YA VICKY KAMATA KUYEYUKA
11 years ago
GPLNDOA YA MIL. 96 YA VICKY KAMATA HATIHATI KUFUNGWA
11 years ago
MichuziMhe. Vicky Kamata aibuka na wimbo mpya wa "Moyo wa mtu kichaka" baada ya mikasa yake ya kuugua ghafla kabla ya ndoa yake
10 years ago
Mtanzania01 Oct
Vicky Kamata adakwa polisi
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata
MBUNGE wa Viti Maalumu, Vicky Kamatta (CCM), amekamtwa na Polisi Mkoa wa Dodoma kwa tuhuma za kuwatumia ujumbe mfupi wa simu za matusi wabunge wenzake.
Chanzo ncha kuaminika kutoka mjini Dodoma kiliambia MTANZANIA kuwa kwa kipindi cha miezi kadhaa Vicky amekuwa akituma sms za matusi kwa wabunge wenzake wa viti maalumu kupitia CCM, Catherine Magige na Lucy Mayenga ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Uyui.
Taarifa zaidi zinasema kuwa wabunge hao walikuwa...
11 years ago
GPLHARUSI YA VICKY KAMATA MIL. 96
11 years ago
MwananchiMbunge Vicky Kamata augua
11 years ago
GPLVICKY KAMATA AFANYIWA SHEREHE
11 years ago
GPLWAPAMBE WAMFUATA VICKY KAMATA WODINI
11 years ago
Michuzi09 Jul