NDOA YA MIL. 96 YA VICKY KAMATA HATIHATI KUFUNGWA
![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBInyrTPb0gxTUoyFmqH3qAvQVPlgSrSuyZsQEeRWUsLKpi-qEpgdwtgHz4BmO0S085UfZ4gqsasAP3c69SKFuXfl/vicky.jpg)
Stori: mwandishi wetu ILE ndoa inayodaiwa ikifungwa harusi yake itatafuna shilingi milioni 96 kati ya Mbunge wa Viti Maalum Geita kwa tiketi ya CCM, Vicky Paschal Kamata na mwanaume aliyejulikana kwa jina la Charles iko katika hatihati ya kufungwa kutokana na kuibuka kwa mizengwe. Vicky Paschal Kamata. Habari za ndani zinadai kuwa mizengwe iliyoibuka katika hatua za mwisho zimemfanya mwanaume huyo kuamua kubatilisha ndoa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYnmJAeq7zWG25SEI3*pHry5U5MtwL*MoWNaZQP6yCoPSfLMRC1TxZ*--MSNXVGrXH8DRaLYaJxAC2a43NmTwgDy/harusi.jpg)
HARUSI YA VICKY KAMATA MIL. 96
11 years ago
Mwananchi29 May
‘Sijavuruga ndoa ya Vicky Kamata’
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*pyb6tIrRdJ0L3Q3bKkk2W9ds2-eUmqIApIFVVx1O*hQl7VTiX*43NmOE4EDf657g5VEa3AwgYJWVXS*5zQ1iDf/vicky.jpg)
SABABU 3 NDOA YA VICKY KAMATA KUYEYUKA
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-snaiDT0TvIg/U58lBwmHqVI/AAAAAAAFrHc/DgbEGVO40Lg/s72-c/Vick+akikumbatiana+na+Kigwangala+(1).jpg)
Mhe. Vicky Kamata aibuka na wimbo mpya wa "Moyo wa mtu kichaka" baada ya mikasa yake ya kuugua ghafla kabla ya ndoa yake
10 years ago
Mtanzania01 Oct
Vicky Kamata adakwa polisi
![Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/Vicky-Kamata.jpg)
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata
MBUNGE wa Viti Maalumu, Vicky Kamatta (CCM), amekamtwa na Polisi Mkoa wa Dodoma kwa tuhuma za kuwatumia ujumbe mfupi wa simu za matusi wabunge wenzake.
Chanzo ncha kuaminika kutoka mjini Dodoma kiliambia MTANZANIA kuwa kwa kipindi cha miezi kadhaa Vicky amekuwa akituma sms za matusi kwa wabunge wenzake wa viti maalumu kupitia CCM, Catherine Magige na Lucy Mayenga ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Uyui.
Taarifa zaidi zinasema kuwa wabunge hao walikuwa...
11 years ago
Mwananchi![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2325012/highRes/751453/-/maxw/600/-/1pkoypz/-/kamata.jpg)
Mbunge Vicky Kamata augua
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ug6ORo4NSNRijyZ4LbX0*nMim*GaHA5p80wefnqJqI4Mxl-7l-qZBnaytNK3Sq2nji5FSnZUN5HPzEsNexLtgy1lbJAqR0kc/vicky.jpg)
VICKY KAMATA AFANYIWA SHEREHE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3LuODjBO6Ur5tQvUxUwWX-GbzkaYQ5UTSPXAQRBfnqKw9aHgXHO4QWjpqivU4SggHtfAnTXgemIv*55eME3-Umab/vicky.jpg)
WAPAMBE WAMFUATA VICKY KAMATA WODINI
11 years ago
Michuzi09 Jul