Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baada ya kuugua kwa miezi kadhaa,mama yake Diamond aendelea vizuri

Mama mzazi wa Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', Sanura Kassim 'Sandra', amerejeshwa Bongo kutoka India ambapo afya yake imetengemaa. Habari kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya familia ya jamaa huyo, kililieleza gazeti hili kwamba, tayari Sandra amesharejea katika hali yake ya kawaida na ndiyo maana akarudi Bongo baada ya kulazwa hospitalini nchini India kwa kusumbuliwa na ugonjwa wa kupooza.
Mwanafamilia huyo alisema kwamba, Diamond na mama yake walirejea nchini...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mhe. Vicky Kamata aibuka na wimbo mpya wa "Moyo wa mtu kichaka" baada ya mikasa yake ya kuugua ghafla kabla ya ndoa yake

Mh. Vicky Kamata aliwasili Bungeni Dodoma na kama ilivyo ada alipokewa vizuri na kila mbunge aliyekutana nae.  Wabunge wengi walimpa pole baada ya kuugua siku chache kabla ya ndoa yake na kumtakia kila la kheri, huku wengi wakiamini kilichotokea ni mpango wa Mungu na kua Ndoa yake ipo na itakuwepo siku yoyote Mungu akiamua kulitimiza kusudi lake juu ya Mh. Vicky Kamata..   Wakati wabunge wengi wakimuhurumia na kudhani kua kutofungwa kwa ndoa yake kungemgharimu siku nyingi kurudi katika hali...

 

11 years ago

GPL

ALICHOKISEMA DUDUBAYA BAADA YA KUSAMBAA KWA TAARIFA ZA KUMKATA SIKIO MAMA YAKE MKUBWA

Godfrey Tumaini 'Dudubaya'. Jana April 08 kupitia You heard Soud Brown ali-amplify taarifa za Dudubaya kumkata sikio mama yake mkubwa huku sababu ikielezwa kuwa anamhisi mama yake huyo anamroga kimuziki,leo Dudubaya kapatikana na ameongelea juu ya jambo hili lilivyotokea. 104.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Dodoma. Bonyeza play kusikiliza.…

 

10 years ago

GPL

DIAMOND WIMBO WAKE WA KWANZA ALIUREKODI KWA FEDHA ZA KUMTAPELI PETE MAMA YAKE

Mkali wao katika Bongo Fleva, 'Diamond Platinumz' akiwa na Bi. mkubwa wake. WIKI iliyopita tuliishia pale Diamond alipokuwa hana kazi ya kufanya nyumbani hivyo alianza kutafuta vibarua mbalimbali vya kumuwezesha kupata riziki ya siku.Miongoni mwa kazi hizo ni kuuza mitumba, kuweka mafuta kwenye magari (vituo vya mafuta), kupiga picha, kupigisha simu na kazi za kwenye viwanda.Endelea sasa… ACHEZA KAMARI
Wakati mwingine...

 

11 years ago

GPL

ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO AENDELEA VIZURI AOMBA MSAADA

Mapacha wanne wa Aida Nakawala. Aida Nakawala 25 mkazi wa kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto wanne  mapacha kwa mkupuo(Quadliplets) katika usiku wa kuamkia Mwaka mpya anaendelea vizuri.…

 

5 years ago

BBCSwahili

Marekani yashambulia Taliban kwa makombora saa kadhaa baada ya mkataba

Hii inakuja siku moja baada ya rais Trump kuzungumza na kundi hilo kuhusu juhudi za kuimarisha mchakato wa amani.

 

10 years ago

Michuzi

BAADA YA KUKWAMA KWA MASAA KADHAA, MV MAENDELEO YATIA NANGA SALAMA UNGUJA

Na Mwandishi Wetu, SwahilivillaMeli ya Mv Maendeleo imetia nanga salama katika bandari ya Unguja ikitokea kisiwani Pemba baada ya kukwama kwa muda wa masaa kadha katika eneo la bandari ya Mkoani. Mv Maendeleo ikiwa imetegesha katika katika eneo la bandari ya Mkoani Pemba.
Akizungumza kwa njia ya simu kutoka bandarini Unguja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazanzibari nchini Marekani (ZADIA) Bwana Omar Haji Ali, Afisa wa ngazi za juu katika MV Maendeleo alithibitsha kuwa meli hiyo imetia nanga...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt Magufuli arejea jijini Dar baada ya kujitambulisha mikoa kadhaa, apokelewa kwa kishindo

7

Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Chalinze (hawapo pichani) alipokuwa akirejea jijini Dar jana jioni akitokea mkoani Dodomaakitokea Mkoani  Dodoma. (PICHA NA MICHUZI JR-MICHUZI MEDIA GROUP).

Wakazi wa Bagamoyo wakimsikiliza Dkt Magufuli wakati alipokuwa akijitambulisha kwao.

Mkazi wa Bagamoyo akifurahia jambo.

 Wananchi wakimshangilia Dkt Magufuli (hayupo pichani) alipokuwa akijitambulisha kwao hapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani