Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CORONA ITAENDELEA KUWEPO KWA MIEZI KADHAA,NI LAZIMA TUJIFUNZE KUISHI NA CORONA-WAZIRI UMMY.


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA BMF YAENDESHA MAFUNZO KWA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII UMMY ASHAURI TUJIFUNZE KUISHI NA CORONA




Na Karama Kenyunko, Globu ya jamiiWAZIRI wa Afya, maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto, Ummy Mwalimu amewaasa Watanzania kujifunza kuishi na Corona kwani itakuwepo kwa miezi kadhaa hivyo maisha ni lazima yaendelee na uzalishaji mali uendelee huku wananchi wakiendelea kuchukua tahadhari kwa kufuata miongozo iliyotolewa na waudumu wa afya.
Ameyasema hayo leo Mei 14, 2020 jijini Dar es Salaam alipotembelea mafunzo ya waudumu wa afya ngazi ya jamii yanayotolewa na Wizara ya afya kwa ufadhili...

 

5 years ago

Michuzi

LAZIMA TUJITAFAKARI TUNATAKA KUISHI NA CORONA KWA STAILI GANI? ...TUNAJISAHAU


Na Zainab Nyamka-Michuzi TV

IKIWA zimepita siku kadhaa toka itangazwe kwamba maambukizi ya virusi vya Corona nchini kupungua, tumeanza kushuhudia Watanzania waanza kuishi maisha yale yale...

Sijui ni nani ameturoga sisi watanzania, ina maana tumeshasahau? Au tunaendelea kuamini kuwa hautatupata tena?

Kauli  ya Rais Dkt.John Magufuli iheshimiwe na kutekelezwa ila tusisahau wajibu wetu kama wananchi watiifu kwake.Ni sawa maambukizi ya Corona yameoungua lakini tuendelee kujikinga kwani ugonjwa upo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Muuguzi wa wagonjwa wa corona ambaye huenda akarejeshwa kwao kwa lazima.

Mahakama ya juu zaidi nchini Marekani inasikiliza kesi ambayo huenda ikaweka maelfu ya watu hasa watoto ambao waliingizwa nchini humo kinyume cha sheria na wazazi wao katika hatari ya kurejeshwa katika nchi zao.

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI UMMY ATAKA USHIRIKIANO TOKA KWA WADAU VIRUSI VYA CORONA HAVIINGI TANZANIA

  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa sekta ya afya lengo likiwa ni kujadili kwa pamoja tishio la mlipuko wa virusi vya corona.
Ummy alisema katika kikao hicho waliwaeleza wadau kama taarifa ya Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza hali ya maambukizi ya ugonjwa huo duniani, hivyo kama Serikali ni vyema kuwapatia taarifa wadau hao.
“Tumewapa taarifa wadau wetu na kuwahakikishia kwamba Tanzania hakuna mtu...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY MWALIMU AMKABIDHI RC MAKONDA VIFAA VYA KUNAWA MIKONO KWA AJILI YA KUWAKINGA WANANCHI NA CORONA.

 Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Mhe Ummy Mwalimu (katikati),akionesha mfano wa kunawa katika moja ya matenki 1000 aliyoyakabidhi kwa mkuu wa mkoa wa Dar es salama kwa niaba ya mikoa mingine wak ajili ya wananchi kunawa mikono kujikinga na maambukizi ya COVID 19,Pichani kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam,Paul Makonda Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto MheUmmy Mwalimu akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari mapema leo jijini Dar,wakati...

 

5 years ago

Michuzi

HADI SASA TUMEWEZA KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA NDANI KWA NDANI YA CORONA-WAZIRI UMMY

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena Watoto, Ummy Mwalimu, akieleza jambo, wakati akiongea na Waandishi wa Habari juu ya mwenendo wa ugonjwa wa Corona (COVID-19) Jijini Dodoma.



Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Zainab Chaula wakifuatilia neno kutoka kwa Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu (hayupo kwenye picha, wakati akiongea na Waandishi wa Habari juu ya mwenendo wa ugonjwa wa Corona...

 

5 years ago

Michuzi

WADAU TUSHIRIKIANE KUKABILIANA NA CORONA – WAZIRI UMMY



 Kikao cha kujadili tishio la ugonjwa wa corona baina ya Serikali na shirika la afya duniani, Mabalozi na wakuu wa taasisi za kimataifa na wadau wa sekta ya afya kilichofanyika kwenye ukumbi wa ofisi ndogo za wizara ya afya jijini Dar es salaam Mwakilishi Mkazi wa Shirika la kimataifa (UN) Zlatan Milisic akichangia kwenye mkutano huo Baadhi ya...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI UMMY: CORONA YAENDELEA KUISHA NCHINI

Na WAJMW-DOMWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa Corona unaelekea kuisha nchini ambapo mikoa zaidi ya 15 haijaripoti mgonjwa yeyote wa Corona kwa zaidi ya wiki.
Waziri Ummy amesema hayo leo wakati alipotembelea kituo cha afya cha Mkonze kilichotengwa kwa ajili ya kuwahudumia watu waliopata maambukizi ya ugonjwa wa Corona jijini Dodoma na kukuta vitanda vikiwa tupu bila kuwa na mgonjwa yeyote kwa zaidi ya wiki.
Waziri Ummy amesema...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI IMEFANIKIWA KUDHIBITI CORONA -WAZIRI UMMY


Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) Ummy Mwalimu kushoto akikata utepe wakati wa uzinduzi wa makabidhiano ya vifaa vya Kunawia Mikono kudhibiti ugonjwa wa Covid 19 Mkoa wa Tanga kulia ni Country Director Water Mission Benjamini Filskov .
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) Ummy Mwalimu akisisitiza jambo kwa Mganga Mfawidhi wa kituo cha Afya Ngamiani Angelina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani