SERIKALI IMEFANIKIWA KUDHIBITI CORONA -WAZIRI UMMY
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) Ummy Mwalimu kushoto akikata utepe wakati wa uzinduzi wa makabidhiano ya vifaa vya Kunawia Mikono kudhibiti ugonjwa wa Covid 19 Mkoa wa Tanga kulia ni Country Director Water Mission Benjamini Filskov .
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) Ummy Mwalimu akisisitiza jambo kwa Mganga Mfawidhi wa kituo cha Afya Ngamiani Angelina...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziHADI SASA TUMEWEZA KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA NDANI KWA NDANI YA CORONA-WAZIRI UMMY
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Zainab Chaula wakifuatilia neno kutoka kwa Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu (hayupo kwenye picha, wakati akiongea na Waandishi wa Habari juu ya mwenendo wa ugonjwa wa Corona...
5 years ago
Michuzi5 years ago
MichuziWADAU TUSHIRIKIANE KUKABILIANA NA CORONA – WAZIRI UMMY
Kikao cha kujadili tishio la ugonjwa wa corona baina ya Serikali na shirika la afya duniani, Mabalozi na wakuu wa taasisi za kimataifa na wadau wa sekta ya afya kilichofanyika kwenye ukumbi wa ofisi ndogo za wizara ya afya jijini Dar es salaam Mwakilishi Mkazi wa Shirika la kimataifa (UN) Zlatan Milisic akichangia kwenye mkutano huo Baadhi ya...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI UMMY: CORONA YAENDELEA KUISHA NCHINI
Waziri Ummy amesema hayo leo wakati alipotembelea kituo cha afya cha Mkonze kilichotengwa kwa ajili ya kuwahudumia watu waliopata maambukizi ya ugonjwa wa Corona jijini Dodoma na kukuta vitanda vikiwa tupu bila kuwa na mgonjwa yeyote kwa zaidi ya wiki.
Waziri Ummy amesema...
5 years ago
MichuziUGONJWA WA CORONA UNAELEKEA KUISHA NCHINI-WAZIRI UMMY
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa Corona unaelekea kuisha nchini ambapo mikoa zaidi ya 15 haijaripoti mgonjwa yeyote wa Corona kwa zaidi ya wiki.
Waziri Ummy amesema hayo leo wakati alipotembelea kituo cha afya cha Mkonze kilichotengwa kwa ajili ya kuwahudumia watu waliopata maambukizi ya ugonjwa wa Corona jijini Dodoma na kukuta vitanda vikiwa tupu bila kuwa na mgonjwa yeyote kwa zaidi ya wiki.
Waziri Ummy amesema...
5 years ago
MichuziGGML yamkabidhi Waziri Ummy Sh bilioni 1.1 kukabili Corona
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, amepokea hundi ya Sh bilioni 1.1 kutoka kwa Kampuni ya Uchimbaji Madini Geita (GGML) ili kukabiliana na mapambano dhidi ya maambukizi ya Corona.
Pia ametoa wito kwa viwanda vya ndani kuchangamkia fursa za uzalishaji wa vifaa tiba na kinga dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 kutokana na fedha zinazochangwa na makampuni mbalimbali nchini.
Waziri Ummy ametoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam, wakati akipokea hundi hiyo kutoka GGML ambayo...
5 years ago
MichuziCorona imeleta fursa ya kuboresha huduma za afya nchini’: Waziri Ummy
**********************************
Na.WAMJW, Dar es Salaam
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwapo kwa ugonjwa wa Corona nchini, imeleta fursa ya kuboresha huduma za afya katika vituo mbalimbali vya afya hapa nchini.
Michango mbalimbali iliyotolewa zikiwamo vifaa na vifaa tiba zimesaidia kwa kiasi kikubwa kuimarisha huduma za afya na kuokoa maisha kwa wagonjwa mahututi.
Waziri wa afya Ummy Mwalimu ameyasema hayo wakati akizindua upanuzi wa...
5 years ago
MichuziWAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU ATHIBITISHA UWEPO WA MGONJWA WA KWANZA WA CORONA NCHINI
Na Avila Kakingo, Globu ya jamiiWAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema kuna mtu mmoja mwenye umri wa miaka 46 ameainika kuwa na virusi vya Corona Covid 19 ambaye aliwasili nchini na ndege ya Rwandan air akitokea nchini ubelgiji.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Waziri Ummy amesema kuwa mtu huyo ambaye ni mwanamke raia wa Tanzania aliondoka nchini, Machi 3, 2020,ambapo kati ya Machi 5 hadi Machi13 alitembelea nchi za Swiden na Denmark na kurudi...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI UMMY ATAKA USHIRIKIANO TOKA KWA WADAU VIRUSI VYA CORONA HAVIINGI TANZANIA
Ummy alisema katika kikao hicho waliwaeleza wadau kama taarifa ya Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza hali ya maambukizi ya ugonjwa huo duniani, hivyo kama Serikali ni vyema kuwapatia taarifa wadau hao.
“Tumewapa taarifa wadau wetu na kuwahakikishia kwamba Tanzania hakuna mtu...