ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO AENDELEA VIZURI AOMBA MSAADA
Mapacha wanne wa Aida Nakawala. Aida Nakawala 25 mkazi wa kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo(Quadliplets) katika usiku wa kuamkia Mwaka mpya anaendelea vizuri.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-10JxlHGicaQ/VRveT2Z4Y7I/AAAAAAAHOw4/sZmHrocx1C0/s72-c/unnamed%2B(11).jpg)
MAMA AJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO MKOANI KIGOMA, AOMBA MSAADA KWA WATANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-10JxlHGicaQ/VRveT2Z4Y7I/AAAAAAAHOw4/sZmHrocx1C0/s1600/unnamed%2B(11).jpg)
MKAZI wa Kijiji cha Buzebazeba katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, Zuwena Abdu (29) jana amejifungua watoto mapacha wanne kwa mkupuo katika Hospital ya Mkoa wa Kigoma (Maweni).
Zuwena alisema kuwa watoto aliojifungua wenye jinsia ya kiume ni watatu na mmoja ambaye ni wa mwisho ana jinsia ya kike ,wa kwanza akiwa na uzito wa kilo 1.8,pili 2.5 wa tatu 1.7 na wanne 1.7.
Alisema watoto hao alijifungua jana majira ya saa kumi na mbili jioni salama kwa njia...
11 years ago
GPLMWANAMKE ALIYEJIFUNGUA WATOTO WANNE KWA MKUPUO APATA MSAADA
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Aliyejifungua pacha wanne aomba msaada
MKAZI wa Kijiji Chakijage, Kata ya Rwabwere, Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, aliyejifungua watoto wanne pacha, Jodephina Rugambwa (30), ameiomba serikali kumpatia msaada ili kumsaidia kulea watoto wake. Akizungumza na...
11 years ago
GPL24 May
MASKINI! MAMA ALIYEJIFUNGUA MAPACHA 4, MMOJA AFARIKI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tdqJfxIjUmU/Xlo5DkzYmhI/AAAAAAALgEo/8-I4xS_1mZgXGrUmmH014ri-ANPTJhBwwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WAZIRI SIMBACHAWENE AJITOLEA KUMSAIDIA MAMA ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WATATU MPWAPWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-tdqJfxIjUmU/Xlo5DkzYmhI/AAAAAAALgEo/8-I4xS_1mZgXGrUmmH014ri-ANPTJhBwwCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-DHPiNeRb2VE/Xlo5D-bPGHI/AAAAAAALgEs/8v1LNnzwkGc3zl9wuwuJQFItw27n2WJSQCLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
10 years ago
Michuzi23 May