Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI SIMBACHAWENE AJITOLEA KUMSAIDIA MAMA ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WATATU MPWAPWA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiwaangalia watoto mapacha watatu waliozaliwa Hospitali ya Wilaya ya Mpwapwa, Mkoani Dodoma. Kushoto ni Mama Mzazi wa watoto hao, Mariam Jonas. Simbachawene ameahidi kuwahudumia mapacha hao mpaka watakapo kuwa watu wazima. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akiagana na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mpwawa, Dkt Hamza Mkingule, baada ya kufika hospitali hapo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MASKINI! MAMA ALIYEJIFUNGUA MAPACHA 4, MMOJA AFARIKI

Yule mama aliyejifungua mapacha wanne katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar, amepata pigo baada ya mmoja kufariki!

 

5 years ago

Michuzi

MWILI WA BABA MZAZI WA GEORGE SIMBACHAWENE , MAREHEMU BONIFACE SIMBACHAWENE WAZIKWA KIJIJINI PWAGA, JIMBO LA KIBAKWE WILAYANI MPWAPWA


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene na Mkewe Mariana Simbachawene, wakiweka picha ya Baba Mzazi wa waziri huyo Marehemu Boniface Simbachawene wakati wa ibada ya mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga kilichopo Jimbo la Kibakwe , wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililohifadhi mwili wa Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...

 

11 years ago

GPL

ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO AENDELEA VIZURI AOMBA MSAADA

Mapacha wanne wa Aida Nakawala. Aida Nakawala 25 mkazi wa kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto wanne  mapacha kwa mkupuo(Quadliplets) katika usiku wa kuamkia Mwaka mpya anaendelea vizuri.…

 

10 years ago

Habarileo

Simbachawene, Lubeleje vinara CCM Mpwapwa

WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene, ameshinda kwa kishindo uchaguzi ndani Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuingia katika kinyang’anyiro cha kutetea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma.

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Simbachawene ziarani Jimboni kwake kibakwe Wilayani Mpwapwa

Naibu Waziri wa Ardhi Mhe.George Simbachawene ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe akikagua ujenzi wa jengo la ofisi ya waalimu shule ya msingi iramba kijiji cha Iramba kata ya Rudi Wilayani Mpwapwa ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kutembelea Jimbo la kibakwe. Kulia kwakwe ni Katibu wa CCM Wilaya Bw. Mbogo ambaye amefuatana na Naibu Waziri kwenye ziara hiyo.Picha na. Mgheni Anthony.

 

10 years ago

Habarileo

Mpwapwa wanawake wanalala watatu kitandani

IDARA ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa inakabiliwa na changamoto mbalimbali zikiwemo za uhaba wa watumishi , wagonjwa hasa wajawazito kulala wawili hadi watatu katika kitanda kimoja.

 

9 years ago

Bongo5

Music:Mapacha Watatu – Kimatumatu

mapacha

Bendi ya Mapacha Watatu “Wakali wa Town” katika kipindi hiki cha kufunga mwaka. Wameachia wimbo mpya. Wimbo unakwenda kwa jina la “Kimatumatu” utunzi wake Khalid Chokoraa kazi ikiwa imetengenezwa na Erasto Mashine.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Mtanzania

Mapacha watatu kuwashukuru Bagamoyo

MAPACHA WATATU 1NA MWALI IBRAHIM

BENDI ya muziki wa dansi ya Mapacha Watatu inatarajia kufanya onyesho maalumu kwa ajili ya shukrani kwa mashabiki wao wa Bagamoyo kutokana na kura walizowapigia hadi wakashinda tuzo za kili.

Mmoja wa viongozi wa bendi hiyo, Khalid Chuma ‘Chokoraa’ alisema, onyesho hilo litafanyika Ijumaa ijayo kwa kutoa nyimbo mbili mpya ambazo ni ‘Mapacha wasasa’ na ‘Wabaya watu’.

“Mashabiki wetu walituwezesha kupata tuzo mbili kwenye mchakato wa tuzo za Kilimanjaro zikiwa ni ‘Mtunzi bora’...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani