Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWILI WA BABA MZAZI WA GEORGE SIMBACHAWENE , MAREHEMU BONIFACE SIMBACHAWENE WAZIKWA KIJIJINI PWAGA, JIMBO LA KIBAKWE WILAYANI MPWAPWA


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene na Mkewe Mariana Simbachawene, wakiweka picha ya Baba Mzazi wa waziri huyo Marehemu Boniface Simbachawene wakati wa ibada ya mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga kilichopo Jimbo la Kibakwe , wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililohifadhi mwili wa Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mh. Simbachawene ziarani Jimboni kwake kibakwe Wilayani Mpwapwa

Naibu Waziri wa Ardhi Mhe.George Simbachawene ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe akikagua ujenzi wa jengo la ofisi ya waalimu shule ya msingi iramba kijiji cha Iramba kata ya Rudi Wilayani Mpwapwa ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kutembelea Jimbo la kibakwe. Kulia kwakwe ni Katibu wa CCM Wilaya Bw. Mbogo ambaye amefuatana na Naibu Waziri kwenye ziara hiyo.Picha na. Mgheni Anthony.

 

5 years ago

Michuzi

TANZIA: BABA MZAZI WA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, GEORGE SIMBACHAWENE AFARIKI DUNIA


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akizungumza na Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro, wakati Mkuu huyo wa Jeshi alipoenda kuhani msiba wa Baba Mzazi wa Waziri huyo, marehemu Boniface Simbachawene Mwataguluvala, Kinyerezi Jijini Dar es Salaam, leo Aprili 17, 2020.  Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Zubery...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU CCM AONGOZA VIONGOZI KUHANI MSIBA WA BABA WA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI,MAREHEMU BONIFACE SIMBACHAWENE


Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene(kulia), alivyofika kuhani msiba wa Baba Mzazi wa huyo, Marehemu Boniface Simbachawene,Ilazo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiNaibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni  akisaini kitabu cha ...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE JIMBO LA KIBAKWE WILAYANI MPWAPWA.

Pichani Msafara wa Katibu Mkuu,Ndugu Abdulrahman Kinana ukielekea jimbo la Kimbakwe  Wilayani Mpwapwa mapema leo asubuhi kuendelea na ziara yake ya siku 9 mkoani Dodoma ya Kuimarisha uhai wa chama,kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi 2010 pamoja na kusikiliza kero za Wananchi ikiwemo na kuzitafutia ufumbuzi.Mwenyekiti wa kikundi cha Mkombozi,Bwa.Athanas Kigosi akitoa maelezo mafupi mbele ya Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana,kuhusiana na shamba la mfano ambalo limepandwa...

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA BABA MZAZI WA WAZIRI SIMBACHAWENE


Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililohifadhi mwili wa Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, Marehemu Boniface Simbachawene , wakati wa ibada ya mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga kilichopo Jimbo la Kibakwe , wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene na Mkewe Mariana Simbachawene, wakiweka picha ya...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Simbachawene akiwa jimboni kwake Kibakwe

Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. George Simbachawene ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, akiwa pamoja na Viongozi wa CCM Wilaya ya Mpwapwa na Viongozi wa kata ya Rudi walipotembelea na kukagua jengo la josho la mifugo lililojengwa kwa nguvu za wananchi na serikali kijiji cha Mtamba kitongoji cha Iramba kata ya Rudi Wilaya ya Mpwapwa.Picha na Mgheni Anthony. Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. George Simbachawene akikabidhi msaada wa magodoro,saruji na mabati kwa Bi.Asha Mtata kwa niaba ya wananchi...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AMALIZA ZIARA JIMBO LA MPWAPWA NA KIBAKWE,LEO KUWASILI JIMBO LA KONGWA.

  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa,Nape Nnauye sambamba na viongozi mbalimbali wa chama mkoani Dodoma jana wamemaliza ziara ya Kikazi katika jimbo la Mpwapwa na Kibakwe mkoani Dodoma,ambapo leo wanaanza ziara katika jimbo la Kongwa.Kinana anaendelea na ziara yake ya siku tisa mkoani humo,akikagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 ikiwemo sambamba na kuimarisha uhai chama,kusikiliza matatizo...

 

10 years ago

Habarileo

Simbachawene, Lubeleje vinara CCM Mpwapwa

WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene, ameshinda kwa kishindo uchaguzi ndani Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuingia katika kinyang’anyiro cha kutetea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AJITOLEA KUMSAIDIA MAMA ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WATATU MPWAPWA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiwaangalia watoto mapacha watatu waliozaliwa Hospitali ya Wilaya ya Mpwapwa, Mkoani Dodoma. Kushoto ni Mama Mzazi wa watoto hao, Mariam Jonas. Simbachawene ameahidi kuwahudumia mapacha hao mpaka watakapo kuwa watu wazima. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akiagana na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mpwawa, Dkt Hamza Mkingule, baada ya kufika hospitali hapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani