Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Simbachawene akiwa jimboni kwake Kibakwe

Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. George Simbachawene ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, akiwa pamoja na Viongozi wa CCM Wilaya ya Mpwapwa na Viongozi wa kata ya Rudi walipotembelea na kukagua jengo la josho la mifugo lililojengwa kwa nguvu za wananchi na serikali kijiji cha Mtamba kitongoji cha Iramba kata ya Rudi Wilaya ya Mpwapwa.Picha na Mgheni Anthony. Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. George Simbachawene akikabidhi msaada wa magodoro,saruji na mabati kwa Bi.Asha Mtata kwa niaba ya wananchi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mh. Simbachawene ziarani Jimboni kwake kibakwe Wilayani Mpwapwa

Naibu Waziri wa Ardhi Mhe.George Simbachawene ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe akikagua ujenzi wa jengo la ofisi ya waalimu shule ya msingi iramba kijiji cha Iramba kata ya Rudi Wilayani Mpwapwa ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kutembelea Jimbo la kibakwe. Kulia kwakwe ni Katibu wa CCM Wilaya Bw. Mbogo ambaye amefuatana na Naibu Waziri kwenye ziara hiyo.Picha na. Mgheni Anthony.

 

5 years ago

Michuzi

MWILI WA BABA MZAZI WA GEORGE SIMBACHAWENE , MAREHEMU BONIFACE SIMBACHAWENE WAZIKWA KIJIJINI PWAGA, JIMBO LA KIBAKWE WILAYANI MPWAPWA


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene na Mkewe Mariana Simbachawene, wakiweka picha ya Baba Mzazi wa waziri huyo Marehemu Boniface Simbachawene wakati wa ibada ya mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga kilichopo Jimbo la Kibakwe , wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililohifadhi mwili wa Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...

 

10 years ago

Michuzi

Ziara ya Makalla jimboni kwake Mvomero

Mbunge wa Mvomero na Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ameendelea na ziara ya kikazi jimboni kwake huku Makundi mbalimbali yaliendelea kumuunga Mkono na kumshawishi achukue fomu ya Ubunge kwa kipindi kijacho.
Katika ziara yake ya kichama amekagua kazi zinazotanywa na kikundi cha wakina mama wafinyanga vyungu, wakinamama wajasiriamali wauza kokoto na walima bustani.
Aidha amezindua Shina la ushindi ambalo wakinamama wafinyanga vyungu ndiyo wanachama wa Shina hilo, Katika kuunga Mkono...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dk. Magufuli apiga kura jimboni kwake Chato

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli akipiga kura yake jimboni kwake Chato mapema leo asubuhi Oktoba 25, 2015.(PICHA NA MWANDISHI WETU).

1610819_10153509358794504_7893761609942307368_n

 

10 years ago

Michuzi

MREMA AENDELEA NA MIKUTANO JIMBONI KWAKE VUNJO

Mkutano wa hadhara wa chama cha Tanzania Labour (TLP) uliokuwa ukihutubiwa na Mbunge wa jimbo la Vunjo Agustine Mrema jirani na matanki ya Maji katika kijiji cha Mieresini wilaya ya Moshi vijijini.Afisa uhusiano wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Frolah Nguma (aliyesimama)akitoa ufafanuzi juu ya maswala ya maji baada ya Mbunge Mrema kumtaka kufanya hivyo muda mfupi baada ya maofisa wa Mamlaka hiyo kufika katika Matenki ya Maji kwa ajili ya ukaguzi wa kawaida.

 

10 years ago

Michuzi

Ole Medeye atoa misaada Jimboni kwake

 Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha, Mhe Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Kazamoyo,Kata ya Bwawani kwaajili kuibua vipaji. Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha, Mhe Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Nyamagana ,Kata ya Bwawani kwaajili kuibua vipaji. Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha, Mhe Godluck Ole Medeye(kulia) akitoa msaada wa mabati kwa wananchi...

 

11 years ago

Michuzi

MH. MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA JIMBONI KWAKE CHATO

Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Chato, Mhe. Dk. John Magufuli akihutubia wanachi wa kijiji cha Nyisanzi kata ya Kigongo. Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato akielezea namna Halamshauri inavyojitahidi kuboresha huduma mbalimbali kwa wananchi wa kata ya Nyarutembo. kikundi cha Burudani kutoka kata ya Nyarutembo kikitumbuiza wakati Mbunge wa Jimbo la Chato alipotembelea eneo hilo. wananchi wa kitongoji cha Nyabirere kata ya Muganza wakiwa wamezuia msafara wa Mhe. Dk....

 

11 years ago

Michuzi

MH. MAKALLA AFANYA ZIARA JIMBONI KWAKE MVOMERO

Na John Nditi, Morogoro
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ,ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maji,kuanzia Julai 3 hadi 7, mwaka huu, alifanya ziara ya kikazi iliyilenga kuhamasisha shughuli za maendeleo ya wananchi wake wa vijiji mbalimbali vya Tarafa ya Mlali, Turiani na Mvomero.
Katika ziara hiyo, ametoa misaada ya aina mbalimbali ya kifedha na vifaa kwa ajili ya kuharakisha maendeleo ya huduma za kijamii ikiwa ni pamoja na kuzundua vituo vya kuchota maji Kijiji cha Mgogo, Kata ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani