Mh. Simbachawene ziarani Jimboni kwake kibakwe Wilayani Mpwapwa
Naibu Waziri wa Ardhi Mhe.George Simbachawene ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe akikagua ujenzi wa jengo la ofisi ya waalimu shule ya msingi iramba kijiji cha Iramba kata ya Rudi Wilayani Mpwapwa ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kutembelea Jimbo la kibakwe. Kulia kwakwe ni Katibu wa CCM Wilaya Bw. Mbogo ambaye amefuatana na Naibu Waziri kwenye ziara hiyo.Picha na. Mgheni Anthony.
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMWILI WA BABA MZAZI WA GEORGE SIMBACHAWENE , MAREHEMU BONIFACE SIMBACHAWENE WAZIKWA KIJIJINI PWAGA, JIMBO LA KIBAKWE WILAYANI MPWAPWA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene na Mkewe Mariana Simbachawene, wakiweka picha ya Baba Mzazi wa waziri huyo Marehemu Boniface Simbachawene wakati wa ibada ya mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga kilichopo Jimbo la Kibakwe , wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililohifadhi mwili wa Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...
11 years ago
MichuziMh. Simbachawene akiwa jimboni kwake Kibakwe
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE JIMBO LA KIBAKWE WILAYANI MPWAPWA.
10 years ago
VijimamboKINANA AKUBALIKA KIBAKWE MPWAPWA
Wengi wavutiwa na hotuba zake Wampongeza kwa namna anavyokiimarisha Chama Cha Mapinduzi na msimamo wake wa kutaka Viongozi kuwa karibu na wananchi
Wakazi wa jimbo la Kibakwe wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Kibakwe stendi,Katibu Mkuu aliwataka viongozi wanaosimamia sheria kuzingatia wananchi wa kawaida na kuwashirikisha kwenye jambo linalowagusa kwenye shughuli zao za kila siku kwani kufanya...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AMALIZA ZIARA JIMBO LA MPWAPWA NA KIBAKWE,LEO KUWASILI JIMBO LA KONGWA.
10 years ago
Habarileo05 Aug
Simbachawene, Lubeleje vinara CCM Mpwapwa
WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene, ameshinda kwa kishindo uchaguzi ndani Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuingia katika kinyang’anyiro cha kutetea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma.
5 years ago
MichuziWAZIRI SIMBACHAWENE AJITOLEA KUMSAIDIA MAMA ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WATATU MPWAPWA
5 years ago
MichuziZUNGU AFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYANI MPWAPWA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwasili ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma alipofanya ziara ya kikazi kukagua kukagua athari zilizosababishwa na korongo kubwa kando ya Mto Shaban Robert mwishoni mwa wiki.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe....
10 years ago
MichuziZiara ya Makalla jimboni kwake Mvomero
Katika ziara yake ya kichama amekagua kazi zinazotanywa na kikundi cha wakina mama wafinyanga vyungu, wakinamama wajasiriamali wauza kokoto na walima bustani.
Aidha amezindua Shina la ushindi ambalo wakinamama wafinyanga vyungu ndiyo wanachama wa Shina hilo, Katika kuunga Mkono...