Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mpwapwa wanawake wanalala watatu kitandani

IDARA ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa inakabiliwa na changamoto mbalimbali zikiwemo za uhaba wa watumishi , wagonjwa hasa wajawazito kulala wawili hadi watatu katika kitanda kimoja.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AJITOLEA KUMSAIDIA MAMA ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WATATU MPWAPWA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiwaangalia watoto mapacha watatu waliozaliwa Hospitali ya Wilaya ya Mpwapwa, Mkoani Dodoma. Kushoto ni Mama Mzazi wa watoto hao, Mariam Jonas. Simbachawene ameahidi kuwahudumia mapacha hao mpaka watakapo kuwa watu wazima. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akiagana na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mpwawa, Dkt Hamza Mkingule, baada ya kufika hospitali hapo...

 

10 years ago

Vijimambo

MCHUNGAJI ANASWA NA WANAWAKE WATATU GESTI WAKILA

Pasta John Paul Simon Rubanguka akijaribu kujitetea.
OPARESHENI Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers inaendelea! Wiki hii ilifanya kazi nyingine nzito, kumnasa Pastor John Paul Simon Rubanguka wa kanisa la kiroho la Maximum Deliverance lililopo Masaki, Dar ambaye alinaswa akichezewa utupu na wanawake watatu ambao ni kama waumini wake kwa sababu wote ni Wakristo.Pasta John Paul Simon Rubanguka wa kanisa la kiroho la Maximum Deliverance lililopo Masaki, Dar baada ya kunaswa na wanawake...

 

11 years ago

GPL

MIAKA 10 YA... MATESO KITANDANI

HUJAFA hujaumbika. Hicho ndicho unachoweza kusema ukimuona na baadaye kumsikiliza Disnia Rajabu,32, mkazi wa mtaa wa Geza Ulole mkoani Tanga ambaye anaumwa uvimbe wa mguu kwa muda wa miaka 10 sasa bila kupata nafuu. Disnia hakuzaliwa na tatizo hilo, bali alilipata ukubwani, tena akiwa tayari ameshaolewa, lakini katika hali ya masikitiko makubwa, anadai mumewe alimkimbia mara baada ya kugundua kuwa yupo katika majaribu makubwa...

 

10 years ago

GPL

HUSNA MAULED LIVE KITANDANI

Stori: Gladness Mallya
KABAANG! Miss Sinza 2001 na aliyekuwa pia mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid amenaswa akiwa kimalovee laivu kitandani na modo maarufu Bongo aliyejulikana kwa jina moja la Calisa. Miss Sinza 2001, Husna Maulid akila ujana na modo maarufu Bongo anayejulikana kwa jina moja la Calisa.…

 

11 years ago

GPL

WEMA AMREKODI DIAMOND KITANDANI

Stori: Imelda Mtema
SINI ya malovee inaendelea! Penzi lenye historia ya kushamiri, kumwagana na kurudiana limezidi kuchukua sura mpya, safari hii, Wema Sepetu ‘Madam’ amenaswa akimrekodi video ‘bebi’ wake Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Wema na Diamond. Sosi ya kuvuja kwa sini hiyo mpya ilitokea Ijumaa iliyopita ambapo bila hiyana, bibie Wema aliamua kuitupia video katika Mtandao wa...

 

11 years ago

GPL

ISABELA ALA BETHIDEI KITANDANI

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’ alikula sherehe ya bethidei yake (Aprili 15, mwaka huu) akiwa kitandani baada yakuugua Ugonjwa wa Homa ya Matumbo (Typhoid). Msanii wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’akiwa katika matanuzi. Bela alisema kabla ya kuugua alipanga kufanya bonge la pati lakini bahati mbaya mambo yakaenda ndivyo sivyo. “Sina ujanja, acha nile...

 

10 years ago

GPL

AUNT LULU HOI KITANDANI

Na Hamida Hassan
Staa wa Filamu za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ yupo hoi kitandani baada ya kusumbuliwa na jino la juu ambalo anahofia kulitoa. Staa wa Filamu za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’. Akizungumza na Amani, Aunt Lulu alisema kuwa anajiona amekonda kwa maumivu ya jino tu na kutokana na vitisho anavyovipata kutoka kwa marafiki zake anaogopa kwenda kuling’oa. “Yaani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani asomewa shtaka kitandani

DIWANI wa Kata ya Magata Kalutanga, Geofrey Ezekiel (CCM), aliyekamatwa juzi na kuwekwa ndani kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Limbris Kipuyo, jana alisomewa shtaka akiwa kitandani katika ...

 

9 years ago

Habarileo

Mzee auawa, azikwa uvunguni kitandani

POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kufanya mauaji ya Pascal Luwi (70) , mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Kombora Kijiji cha Ubiri Kata ya Mhonda Tarafa ya Turiani wilayani Mvomero na kumzika uvunguni mwa kitanda chumbani mwake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani