Diwani asomewa shtaka kitandani
DIWANI wa Kata ya Magata Kalutanga, Geofrey Ezekiel (CCM), aliyekamatwa juzi na kuwekwa ndani kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Limbris Kipuyo, jana alisomewa shtaka akiwa kitandani katika ...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Asomewa shtaka, augua ghafla
11 years ago
Mwananchi28 May
Bibi wa ‘unga’ asomewa shtaka, apanda kizimbani
9 years ago
Mwananchi29 Oct
Diwani Bukoba asomewa mashtaka akiwa Hospitali
10 years ago
Uhuru Newspaper03 Sep
Asomewa mashitaka wodini
NA LILIAN JOEL, ARUSHA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, jana ilihamia katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru, kwa ajili ya kusomewa mashitaka mtuhumiwa Abdulkarim Thabit Hasia anayedaiwa kufanya uwakala wa kusajili vijana kujiunga na kundi la Al Shabaab.
Hasia ambaye amelazwa katika hospitali hiyo kwa takriban miezi minne, ilikuwa asomewe mashitaka na kuunganishwa na wenzake, Mei mwaka huu lakini ilishindikana kutokana na kutokuwa na fahamu.
Mshitakiwa huyo alisomewa mashitaka hayo na Wakili wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-i2agun98gWY/Xl5dotg8QhI/AAAAAAALgv0/KKWHkXefr6oYfm87SSQUDuVjtrH72c_XACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-03%2Bat%2B14.33.40.jpeg)
WAKAZI WATATU DAR WAFIKISHWA KORTINI WAKIKABILIWA NA SHTAKA LA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA AINA YA HEROINE
WAKAZI watatu wa jijini Dar es Salaam Jimmy Mlaki (23), mkazi wa Kinondoni Moscow, Stanley Ngowi maarufu kama Sultani (24), mkazi wa Tabata Segera na Issa Omari (29) wa Kimara wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine.
![](https://1.bp.blogspot.com/-i2agun98gWY/Xl5dotg8QhI/AAAAAAALgv0/KKWHkXefr6oYfm87SSQUDuVjtrH72c_XACLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-03%2Bat%2B14.33.40.jpeg)
10 years ago
Habarileo04 Sep
Asomewa mashitaka ya ugaidi hospitali
MTUHUMIWA wa ugaidi na anayedaiwa kufanya uwakala wa kusajili vijana kujiunga kundi la Al- Shabaab la Somalia, Abdulkarimu Thabiti Hasia, amesomewa mashitaka hospitalini jijini Arusha baada ya kupata fahamu.
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Mansour asomewa mashtaka matatu
9 years ago
Mwananchi07 Oct
Mchungaji Msigwa kizimbani, asomewa mashtaka
10 years ago
Mtanzania22 Jan
Wakili Mwale asomewa mashtaka 42 ya utakatishaji fedha haramu
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
WAKILI maarufu jijini Arusha, Medium Mwale na wenzake watatu, wamesomewa mashtaka 42 yanayohusu utakatishaji wa fedha haramu, kughushi nyaraka na kukutwa na mali zilizopatikana kwa njia za uhalifu.
Watuhumiwa hao walisomewa mashtaka ya awali jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mustapha Siyani kabla ya kesi hiyo haijapelekwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha kwa kuanza kusikilizwa.
Akisoma maelezo hayo ya awali, Wakili...