Mchungaji Msigwa kizimbani, asomewa mashtaka
Mgombea ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mchungaji Peter Msigwa na watu wengine watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Iringa leo na kusomewa mashtaka manne, ikiwemo la uvunjivu wa amani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Mansour asomewa mashtaka matatu
9 years ago
Mwananchi29 Oct
Diwani Bukoba asomewa mashtaka akiwa Hospitali
10 years ago
Mtanzania22 Jan
Wakili Mwale asomewa mashtaka 42 ya utakatishaji fedha haramu
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
WAKILI maarufu jijini Arusha, Medium Mwale na wenzake watatu, wamesomewa mashtaka 42 yanayohusu utakatishaji wa fedha haramu, kughushi nyaraka na kukutwa na mali zilizopatikana kwa njia za uhalifu.
Watuhumiwa hao walisomewa mashtaka ya awali jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mustapha Siyani kabla ya kesi hiyo haijapelekwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha kwa kuanza kusikilizwa.
Akisoma maelezo hayo ya awali, Wakili...
11 years ago
Mwananchi28 May
Bibi wa ‘unga’ asomewa shtaka, apanda kizimbani
9 years ago
Habarileo21 Sep
Abwao amponda Mchungaji Msigwa
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia ACT-Wazalendo, Chiku Abwao amesema heri ya miaka mitano ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Monica Mbega wa CCM kuliko miaka mitano ya Mchungaji Peter Msigwa wa Chadema.
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Mchungaji Msigwa ajibu mapigo
WAZIRI Kivuli wa Maliasili na Utalii, Mchungaji Peter Msigwa, amewataka wamiliki wa Kampuni ya uwindaji ya kitalii ya Green Mile Safari Ltd (GMS), wajibu hoja za msingi dhidi ya tuhuma...
11 years ago
Mwananchi02 Jan
Mchungaji Msigwa ambeza JK kuhusu ujangili
9 years ago
Michuzi![](http://lh3.googleusercontent.com/-OMNqDJxwzTM/VgvZegw1iSI/AAAAAAACBP0/d2AvBEy8o1c/s72-c/blogger-image--2011618439.jpg)
MTENGA AMPA ONYO MCHUNGAJI MSIGWA.
![](http://lh3.googleusercontent.com/-OMNqDJxwzTM/VgvZegw1iSI/AAAAAAACBP0/d2AvBEy8o1c/s640/blogger-image--2011618439.jpg)
CHAMA cha mapinduzi ( CCM) Mkoa wa Iringa kimelaani shambulio lililofanywa na wafuasi wa chama cha Demokrasia na maendeleo ( CHADEMA) kwa wananchi waliokuwa wakitoka katika mkutano wa kampeni za mgombea Urais wa CCM Dr John Magufuli juzi.
Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Bw.Hassan Mtenga aliwaeleza waandishi wa habari jana kuwa chama chake kinawapa pole wananchi waliopigwa na wafuasi hao wa Chadema waliotumwa na Mgombea Ubunge wa Chadema jimbo la...
10 years ago
Habarileo08 Jun
Mwenyekiti CCM atamba kumng’oa Mchungaji Msigwa
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu (39) amesema anayo nia na uwezo wa kumuangusha katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini anayemaliza muda wake Mchungaji Peter Msigwa (Chadema).