Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asomewa shtaka, augua ghafla

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kushawishi wafuasi wake kutenda kosa la jinai.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani asomewa shtaka kitandani

DIWANI wa Kata ya Magata Kalutanga, Geofrey Ezekiel (CCM), aliyekamatwa juzi na kuwekwa ndani kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Limbris Kipuyo, jana alisomewa shtaka akiwa kitandani katika ...

 

11 years ago

Mwananchi

Bibi wa ‘unga’ asomewa shtaka, apanda kizimbani

Hatimaye ‘Bibi wa unga’ raia wa Nigeria, Olabis Ibidun Cole (65), amepandishwa kizimbani na kusomewa shtaka linalomkabili kwa lugha ya Kiingereza.

 

11 years ago

GPL

H BABA AUGUA GHAFLA SIKU YA JANA

Staa wa Bongo Fleva,Hamis Baba 'H Baba' akiwa amelazwa siku ya jana baada ya kukimbizwa hospitali. STAA wa Bongo Fleva,Hamis Baba ameugua ghafla jana baada ya kuanguka wakati akijiandaa kwenda kuaga mwili wa aliyekuwa muandaaji wa filamu za Kibongo, marehemu Geogre Otieno Tyson katika viwanja vya Leades, Kinondoni, Dar siku ya jana. Hamis Baba alisema kupitia Account yake ya Instagram aliandika hivi… Naumwa sana nilikuwa...

 

10 years ago

GPL

Mkude augua ghafla, hoi hospitali

Kiungo mkabaji wa Simba, Jonas Mkude. Omary Mdose na Alpha Amos
KIUNGO mkabaji wa Simba, Jonas Mkude, asubuhi ya jana Alhamisi aliugua ghafla na kusababisha akimbizwe hospitali kwa ajili ya matibabu na uchunguzi zaidi. Mkude alishikwa na ugonjwa huo ambao haukuweza kufahamika mara moja wakati akiwa katika Kambi ya Jeshi la JKT Mbweni iliyopo nje kidogo ya Jiji la Dar ambapo timu hiyo ipo na kushindwa kula huku akitapika. Simba...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe augua ghafla, awahishwa Muhimbili

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe jana aliugua ghafla akiwa katika maandamano ya kumsindikiza mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho, Edward Lowassa baada ya kuchukua fomu za kugombea urais katika Tume ya Taifa Uchaguzi (NEC).

 

11 years ago

GPL

40 YA TYSON MAMA YAKE AUGUA GHAFLA

Na Mwandishi Wetu WAKATI jana, Julai 9, 2014 George Otieno Okumu ‘Tyson ametimiza siku 40 tangu kifo chake kilichotokea kwa ajali mbaya ya gari mkoani Dodoma, mama mzazi wa marehemu, Gladys Okumu ameripotiwa kuugua ghafla nchini Kenya anakoishi. Marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson' enzi za uhai wake. Mama Tyosn amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan University iliyopo jijini Nairobi nchini humo kwa kile...

 

11 years ago

CloudsFM

H BABA AUGUA GHAFLA, ASHINDWA KUMUAGA TYSON

STAA wa Bongo Fleva,Hamis Baba ameugua ghafla jana na kuanguka wakati akijiandaa kwenda kuaga mwili wa aliyekuwa muandaaji wa filamu za Kibongo,marehemu Geogre Otieno Tyson katika viwanja vya Leades,Kinondoni,Dar.Aidha msanii alisema kuwa baada ya hali hiyo kumtokea alikimbizwa hospitalini. Kupitia Account yake ya Instagram aliandika hivi… Naumwa sana nilikuwa najiandaa kwenye kumuaga mwenzetu Tyson nikasikia kizunguzungu nikaanguka… hapa nipo hospitalini…

 

10 years ago

Mtanzania

Madabida augua ghafla sherehe za Mei Mosi

Ramadhani-MadabidaRuth Mnkeni, Dar es Salaam

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida jana aliugua ghafla wakati akiwa katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani Mkoa wa Dar es Salaam, yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru ulioko Wilaya ya Temeke.
Madabida ambaye haikufahamika mara moja aliugua nini, alikimbizwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
Gazeti hili ambalo lilikuwa uwanjani hapo jana, lilimshuhudia Madabida...

 

10 years ago

Mwananchi

Mjumbe Bunge Maalumu augua ghafla, alazwa

Mjumbe wa Bunge Maalumu, Asha Bakari Makame amelazimika kuwahishwa kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu baada ya kuzidiwa akiwa Dodoma ambako alikuwa akihudhuria vikao vya kamati.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani