Mkude augua ghafla, hoi hospitali
![](http://api.ning.com:80/files/u-nuBgwJg3zV2Lt-fqH2KAK4qCW7NaKsjLgYLXJi5R5LM4NctwO7G3ZmiQatbmAvCfnTEEs53WQT*48WhRILNwjAbRgIpiQB/kude.gif)
Kiungo mkabaji wa Simba, Jonas Mkude. Omary Mdose na Alpha Amos KIUNGO mkabaji wa Simba, Jonas Mkude, asubuhi ya jana Alhamisi aliugua ghafla na kusababisha akimbizwe hospitali kwa ajili ya matibabu na uchunguzi zaidi. Mkude alishikwa na ugonjwa huo ambao haukuweza kufahamika mara moja wakati akiwa katika Kambi ya Jeshi la JKT Mbweni iliyopo nje kidogo ya Jiji la Dar ambapo timu hiyo ipo na kushindwa kula huku akitapika. Simba...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Asomewa shtaka, augua ghafla
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1cpeWYBMdbFS7MlGVoWGkP6x05EP*Q0iX6AYmnN9k7b3EwzgjkzBdvJ8HiAzYfp3fYWrxFrrhQ95*2Kj48z8W1Df/hbaba1.jpg)
H BABA AUGUA GHAFLA SIKU YA JANA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRYMqpQ*692VytxQvTEJ9R3JQAvHN97M5Wlz-qgvUdL9WxR5YE17CA8-pDH*2xonCmE3SEMjWoj*PUO0ghaYAl9s/tyson.jpg?width=650)
40 YA TYSON MAMA YAKE AUGUA GHAFLA
10 years ago
Mwananchi11 Aug
Mbowe augua ghafla, awahishwa Muhimbili
10 years ago
Mtanzania02 May
Madabida augua ghafla sherehe za Mei Mosi
Ruth Mnkeni, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida jana aliugua ghafla wakati akiwa katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani Mkoa wa Dar es Salaam, yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru ulioko Wilaya ya Temeke.
Madabida ambaye haikufahamika mara moja aliugua nini, alikimbizwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
Gazeti hili ambalo lilikuwa uwanjani hapo jana, lilimshuhudia Madabida...
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Mjumbe Bunge Maalumu augua ghafla, alazwa
11 years ago
CloudsFM05 Jun
H BABA AUGUA GHAFLA, ASHINDWA KUMUAGA TYSON
STAA wa Bongo Fleva,Hamis Baba ameugua ghafla jana na kuanguka wakati akijiandaa kwenda kuaga mwili wa aliyekuwa muandaaji wa filamu za Kibongo,marehemu Geogre Otieno Tyson katika viwanja vya Leades,Kinondoni,Dar.
Aidha msanii alisema kuwa baada ya hali hiyo kumtokea alikimbizwa hospitalini. Kupitia Account yake ya Instagram aliandika hivi… Naumwa sana nilikuwa najiandaa kwenye kumuaga mwenzetu Tyson nikasikia kizunguzungu nikaanguka… hapa nipo hospitalini…
11 years ago
CloudsFM29 May
VICK KAMATA AUGUA GHAFLA, KUTOFUNGA NDOA KESHO
ile ndoa ya Mh.Vick Kamata na mchumba wake wa siku nyingi aitwaye Charles iko ambayo ilitarajiwa kufungwa kesho imeshindikana baada ya Mheshimiwa huyo kuugua ghafla jana usiku na kukimbizwa hospitalini.
Kwa mujibu wa Daktari wake ambaye amezungumza na Clouds fm alisema kuwa Vick Kamata alipelekwa katika hospitali hiyo akiwa katika hali isiyoridhisha kwani alikuwa akitapika na kwamba ujauzito wake ulikuwa ukiashiria kutoka hali ilimfanya alazwe katika hospitali hiyo iliyopo maeneo ya...
9 years ago
Bongo514 Nov
New Music: Layla (The Voice Fairy) — Hoi Hoi
![12237221_1669908713222926_427056748_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12237221_1669908713222926_427056748_n-300x194.jpg)
Wimbo wa msanii anayechipukia, Layla A. Walden aka The Voice Fairy uitwao ‘Hoi Hoi.’ Umetayarishwa kwenye studio za AM Records.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!