40 YA TYSON MAMA YAKE AUGUA GHAFLA
![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRYMqpQ*692VytxQvTEJ9R3JQAvHN97M5Wlz-qgvUdL9WxR5YE17CA8-pDH*2xonCmE3SEMjWoj*PUO0ghaYAl9s/tyson.jpg?width=650)
Na Mwandishi Wetu WAKATI jana, Julai 9, 2014 George Otieno Okumu ‘Tyson ametimiza siku 40 tangu kifo chake kilichotokea kwa ajali mbaya ya gari mkoani Dodoma, mama mzazi wa marehemu, Gladys Okumu ameripotiwa kuugua ghafla nchini Kenya anakoishi. Marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson' enzi za uhai wake. Mama Tyosn amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan University iliyopo jijini Nairobi nchini humo kwa kile...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM05 Jun
H BABA AUGUA GHAFLA, ASHINDWA KUMUAGA TYSON
STAA wa Bongo Fleva,Hamis Baba ameugua ghafla jana na kuanguka wakati akijiandaa kwenda kuaga mwili wa aliyekuwa muandaaji wa filamu za Kibongo,marehemu Geogre Otieno Tyson katika viwanja vya Leades,Kinondoni,Dar.
Aidha msanii alisema kuwa baada ya hali hiyo kumtokea alikimbizwa hospitalini. Kupitia Account yake ya Instagram aliandika hivi… Naumwa sana nilikuwa najiandaa kwenye kumuaga mwenzetu Tyson nikasikia kizunguzungu nikaanguka… hapa nipo hospitalini…
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Asomewa shtaka, augua ghafla
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u-nuBgwJg3zV2Lt-fqH2KAK4qCW7NaKsjLgYLXJi5R5LM4NctwO7G3ZmiQatbmAvCfnTEEs53WQT*48WhRILNwjAbRgIpiQB/kude.gif)
Mkude augua ghafla, hoi hospitali
10 years ago
Mwananchi11 Aug
Mbowe augua ghafla, awahishwa Muhimbili
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1cpeWYBMdbFS7MlGVoWGkP6x05EP*Q0iX6AYmnN9k7b3EwzgjkzBdvJ8HiAzYfp3fYWrxFrrhQ95*2Kj48z8W1Df/hbaba1.jpg)
H BABA AUGUA GHAFLA SIKU YA JANA
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Mjumbe Bunge Maalumu augua ghafla, alazwa
10 years ago
Mtanzania02 May
Madabida augua ghafla sherehe za Mei Mosi
Ruth Mnkeni, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida jana aliugua ghafla wakati akiwa katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani Mkoa wa Dar es Salaam, yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru ulioko Wilaya ya Temeke.
Madabida ambaye haikufahamika mara moja aliugua nini, alikimbizwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
Gazeti hili ambalo lilikuwa uwanjani hapo jana, lilimshuhudia Madabida...
11 years ago
CloudsFM29 May
VICK KAMATA AUGUA GHAFLA, KUTOFUNGA NDOA KESHO
ile ndoa ya Mh.Vick Kamata na mchumba wake wa siku nyingi aitwaye Charles iko ambayo ilitarajiwa kufungwa kesho imeshindikana baada ya Mheshimiwa huyo kuugua ghafla jana usiku na kukimbizwa hospitalini.
Kwa mujibu wa Daktari wake ambaye amezungumza na Clouds fm alisema kuwa Vick Kamata alipelekwa katika hospitali hiyo akiwa katika hali isiyoridhisha kwani alikuwa akitapika na kwamba ujauzito wake ulikuwa ukiashiria kutoka hali ilimfanya alazwe katika hospitali hiyo iliyopo maeneo ya...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-snaiDT0TvIg/U58lBwmHqVI/AAAAAAAFrHc/DgbEGVO40Lg/s72-c/Vick+akikumbatiana+na+Kigwangala+(1).jpg)
Mhe. Vicky Kamata aibuka na wimbo mpya wa "Moyo wa mtu kichaka" baada ya mikasa yake ya kuugua ghafla kabla ya ndoa yake