Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mjumbe Bunge Maalumu augua ghafla, alazwa

Mjumbe wa Bunge Maalumu, Asha Bakari Makame amelazimika kuwahishwa kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu baada ya kuzidiwa akiwa Dodoma ambako alikuwa akihudhuria vikao vya kamati.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mjumbe Bunge Maalum alazwa

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ziana Haji wa kundi la wajumbe 201, amelazwa katika Hospitali ya Mkoa Dodoma baada ya kupata mshtuko, alipopewa taarifa ya kifo cha baba yake.

 

11 years ago

Habarileo

Mjumbe Bunge la Katiba apigwa, alazwa

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta (kulia) akimjulia hali Mjumbe wa Bunge Maalumu kutoka Kundi la 201, Thomas Mgoli aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma jana baada ya kujeruhiwa na watu wasiojulikana, waliomvamia wakati akipata huduma katika duka moja lililopo karibu na mahali anapoishi mjini humo usiku wa kuamkia jana. (Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge).MJADALA kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya, umeingia hatua nyingine baada ya Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Thomas Mgoli, kupigwa na kulazwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma na wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

 

10 years ago

Habarileo

‘Hakuna mjumbe Bunge Maalumu anayedai posho’

Mkurugenzi wa Habari na Itifaki wa Bunge, Jossey MwakasyukaOFISI ya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, imefafanua juu ya kuchelewa kwa posho wa wajumbe wa bunge hilo, akisema zilichelewa kutokana na sababu za kiutaratibu wa fedha na kwamba kwa sasa hakuna mjumbe anayedai posho.

 

11 years ago

GPL

SHIJA AUGUA ALAZWA SAUZI

Stori: Joseph Shaluwa STAA wa filamu za Kibongo, Deogratius Shija ameugua ghafla na kulazwa katika hospitali moja jijini Johannesburg, Afrika Kusini alipokwenda kwa mapumziko mafupi. Staa wa filamu za Kibongo, Deogratius Shija akiwa Hospitalini jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Akiwasiliana na mwandishi wetu kupitia mtandao mmoja wa kijamii, rafiki wa karibu wa Shija aliyeomba hifadhi ya jina lake alithibitisha kuhusu kuugua...

 

10 years ago

Michuzi

JK AWAJULIA HALI WAKUU WA MIKOA YA KILIMANJARO, SIMIYU NA MJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA WALIOLAZWA MUHIMBILI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Leonidas Gama aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Paschal Mabiti aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leoRais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba Mhe. Dkt Henry Mwijarubi Nyamubi aliyelazwa kwa matibabu katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Asomewa shtaka, augua ghafla

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kushawishi wafuasi wake kutenda kosa la jinai.

 

11 years ago

GPL

40 YA TYSON MAMA YAKE AUGUA GHAFLA

Na Mwandishi Wetu WAKATI jana, Julai 9, 2014 George Otieno Okumu ‘Tyson ametimiza siku 40 tangu kifo chake kilichotokea kwa ajali mbaya ya gari mkoani Dodoma, mama mzazi wa marehemu, Gladys Okumu ameripotiwa kuugua ghafla nchini Kenya anakoishi. Marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson' enzi za uhai wake. Mama Tyosn amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan University iliyopo jijini Nairobi nchini humo kwa kile...

 

11 years ago

GPL

H BABA AUGUA GHAFLA SIKU YA JANA

Staa wa Bongo Fleva,Hamis Baba 'H Baba' akiwa amelazwa siku ya jana baada ya kukimbizwa hospitali. STAA wa Bongo Fleva,Hamis Baba ameugua ghafla jana baada ya kuanguka wakati akijiandaa kwenda kuaga mwili wa aliyekuwa muandaaji wa filamu za Kibongo, marehemu Geogre Otieno Tyson katika viwanja vya Leades, Kinondoni, Dar siku ya jana. Hamis Baba alisema kupitia Account yake ya Instagram aliandika hivi… Naumwa sana nilikuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe augua ghafla, awahishwa Muhimbili

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe jana aliugua ghafla akiwa katika maandamano ya kumsindikiza mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho, Edward Lowassa baada ya kuchukua fomu za kugombea urais katika Tume ya Taifa Uchaguzi (NEC).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani