Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK AWAJULIA HALI WAKUU WA MIKOA YA KILIMANJARO, SIMIYU NA MJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA WALIOLAZWA MUHIMBILI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Leonidas Gama aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Paschal Mabiti aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leoRais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba Mhe. Dkt Henry Mwijarubi Nyamubi aliyelazwa kwa matibabu katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAJULIA HALI MAWAZIRI WALIOLAZWA MUHIMBILI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipofika kumjulia hali leo, Jan 15, 2014. Kulia ni mke wa Makamu, Mama Zakia Bilal (kushoto) ni Meneja wa Jengo hilo la Moyo, Sr. Salome Kassanga.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib...

 

10 years ago

Habarileo

‘Hakuna mjumbe Bunge Maalumu anayedai posho’

Mkurugenzi wa Habari na Itifaki wa Bunge, Jossey MwakasyukaOFISI ya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, imefafanua juu ya kuchelewa kwa posho wa wajumbe wa bunge hilo, akisema zilichelewa kutokana na sababu za kiutaratibu wa fedha na kwamba kwa sasa hakuna mjumbe anayedai posho.

 

10 years ago

Mwananchi

Mjumbe Bunge Maalumu augua ghafla, alazwa

Mjumbe wa Bunge Maalumu, Asha Bakari Makame amelazimika kuwahishwa kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu baada ya kuzidiwa akiwa Dodoma ambako alikuwa akihudhuria vikao vya kamati.

 

11 years ago

Michuzi

SITTA AMJULIA HALI MJUMBE WA BUNGE MAALUM ALIYEJERUHIWA NA WATU WASIOJULIKANA

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sitta akimjulia hali mjumbe wa Bunge Maalum kutoka kundi la 201 Mhe. Thomas Mgoli aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma  baada ya kujeruhiwa na watu wasiojikana wakati akipata huduma katika duka moja lililopo karibu na mahali anapoishi Mjini Dodoma. Picha na Owen Mwandumbya

 

10 years ago

Mwananchi

Ushuhuda wa Mjumbe wa Bunge la Katiba-3

Wiki iliyopita shuhuda wa simulizi hii Mwandishi Salma Said, alianza kuelezea yale yaliyojitokeza wakati wa upigaji kura ndani ya lililokuwa Bunge Maalumu la Katiba, ambapo aliishia sehemu ambayo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alitakiwa kuitisha kikao cha kuwaunganisha Wazanzibari kuzungumzia mahitaji yao.Endelea…

 

11 years ago

Habarileo

Mjumbe Bunge la Katiba afukuzwa

MJUMBE wa Bunge la Katiba, Rashid Yussuf Mshenga amefukuzwa uanachama wa Chama cha Wakulima (AFP). Kitendo hicho kimefanywa na Mwenyekiti wa chama hicho, Said Soud. Hata hivyo, Mshenga amepinga kitendo hicho na kudai ni matokeo ya wivu wa maendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani