SITTA AMJULIA HALI MJUMBE WA BUNGE MAALUM ALIYEJERUHIWA NA WATU WASIOJULIKANA
Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sitta akimjulia hali mjumbe wa Bunge Maalum kutoka kundi la 201 Mhe. Thomas Mgoli aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma baada ya kujeruhiwa na watu wasiojikana wakati akipata huduma katika duka moja lililopo karibu na mahali anapoishi Mjini Dodoma. Picha na Owen Mwandumbya
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogSPIKA WA BUNGE LA TANZANIA JOB NDUGAI AMJULIA HALI MBOWE
11 years ago
Michuzi27 Feb
11 years ago
Habarileo25 Apr
Mjumbe Bunge Maalum alazwa
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ziana Haji wa kundi la wajumbe 201, amelazwa katika Hospitali ya Mkoa Dodoma baada ya kupata mshtuko, alipopewa taarifa ya kifo cha baba yake.
11 years ago
CloudsFM12 Aug
MJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA AJERUHIWA
Mjumbe wa bunge maalum la katiba kutoka kundi la 201,Thomas Magnus Mgoli amelazwa katika hospitali ya mkoa Dodoma baada ya kupigwa na wanaodaiwa kuwa 'vijana ambao mashabiki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)'. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi akiwa kitandani kwake, Mgoli amesema alishambuliwa na vijana hao jana usiku majira ya saa moja eneo la area D anakoishi.
Amesema vijana hao hukutana nao mara kwa mara anapokwenda dukani na huzungumzia masuala ya bunge hilo, lakini...
10 years ago
Habarileo19 Aug
Mjumbe Bunge Maalum ataka Ukawa wapuuzwe
WATANZANIA wametakiwa kuwapuuza Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa maelezo kuwa Bunge Maalumu la Katiba likivunjwa na kurejea tena siku zijazo kundi hilo litatoka tena bungeni.
11 years ago
Habarileo13 Aug
Mjumbe Bunge Maalum apiga kura hospitalini
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka kundi 201, Thomas Mgoli, ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, amelazimika kupiga kura hospitalini, kushiriki kufanya uamuzi wa ibara alizoshiriki kujadili katika Kamati yake.
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Mjumbe wa Bunge la #Katiba alia na Sitta, adai ‘kawabania’ nyaraka muhimu [VIDEO]
11 years ago
Michuzi28 Mar
MJUMBE MWIGULU NCHEMBA ALIPOCHANGIA KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO
11 years ago
MichuziMhe.Kajubi Mkajanga ala kiapo kuwa mjumbe wa Bunge maalum la katika