MJUMBE MWIGULU NCHEMBA ALIPOCHANGIA KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO
Mhe. Mwigulu Nchemba alivyochangia katika mjadala wa kupigwa kura za siri ama kura za wazi katika Bunge Maalum la katiba mjini Dodoma leo, na kuleta mtafaruku mkubwa miongoni mwa wajumbe. Hatimaye iibidi aombe radhi na kufuta usemi wake baada ya kutakiwa kufanya hivyo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe Samia Suluhu Hassan.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM12 Aug
MJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA AJERUHIWA
Mjumbe wa bunge maalum la katiba kutoka kundi la 201,Thomas Magnus Mgoli amelazwa katika hospitali ya mkoa Dodoma baada ya kupigwa na wanaodaiwa kuwa 'vijana ambao mashabiki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)'. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi akiwa kitandani kwake, Mgoli amesema alishambuliwa na vijana hao jana usiku majira ya saa moja eneo la area D anakoishi.
Amesema vijana hao hukutana nao mara kwa mara anapokwenda dukani na huzungumzia masuala ya bunge hilo, lakini...
11 years ago
Michuzi27 Feb
11 years ago
Michuzi
JK KUUNGURUMA LEO JIONI KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amealikwa kuwa mgeni rasmi na kuhutubia Bunge...
11 years ago
Vijimambo
MAONI YA MWIGULU NCHEMBA,FEDHA ZOTE ZILIZOSALIA BUNGE LA KATIBA ZIELEKEZWE KWA WALIOKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU
EXCLUSEIVEEEEE KUTOKA DODOMA
COMRADE MWIGULU NCHEMBA AKATAA FEDHA ZA UMMA ZILIZOBAKIA BUNGE LA KATIBA KUTAFUNWA NA WAJUMBE WA BUNGE HILO,AAGIZA FEDHA ZOTE ZILIZOSALIA BUNGE LA KATIBA ZIELEKEZWE KUSAIDIA WANAFUNZI WALIOKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU,KUJENGEA VITUO VYA AFYA NA KUSAIDIA MASIKINI.
Mwigulu Nchemba asema fedha zitakazookolewa kutokana na kutokuendelea bunge maalumu zipeslekwe kuwalipia ada vijana waliokosa mikopo ya elimu ya juu.
Sokoine wa Pili ndugu Mwigulu Nchemba ameshauri fedha...
11 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
11 years ago
Michuzi
Bunge Maalum la Katiba laanza mijadala ya Rasimu ya Katiba rasmi leo

BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...
11 years ago
Michuzi.jpg)
RASIMU KATIBA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI LEO KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)