Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK KUUNGURUMA LEO JIONI KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA .

Kweli Urais hauna ubia wala muda ama sehemu ya kuchapa kazi. Wakati wowote na mahali popote ni sehemu ya kazi, kama inavyoonekana hapa  ambako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametulia ndani ya ndege akisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Dodoma  huku  akiifanyia kazi hotuba yake ambayo ataitoa katika Kikao cha Bunge Maalum la Katiba, leo Ijumaa, Machi 21, 2014.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amealikwa kuwa mgeni rasmi na kuhutubia Bunge...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RASIMU KATIBA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI LEO KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, leo 24 Septemba, 2014. Kulia ni mjumbe wa Bunge hilo, Dkt. Tulia Ackson. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalu la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini...

 

11 years ago

GPL

KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa (katikati), Andrew Chenge (kulia) na James Mbatia wakiteta jambo bungeni mjini Dodoma leo Machi 31, 2014.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Anne Makinda ambaye ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akibadilishana mawazo na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Kificho ndani ya bunge leo.… ...

 

11 years ago

Michuzi

BUNGE MAALUM LA KATIBA LAANZA TENA LEO MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Samuel Sita akitoa maelezo kabla ya kuanga kwa Bunge hilo katika awamu ya pili nay a mwisho ya 60 zilizobakia katika majadala wa Rasimu ya Katiba Mpya ya Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakianza rasmi Nngwe ya Pili ya Majadala wa Rasimu ya Katiba utakaochukuwa siku sitini kamili Mjini Dodoma. Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakiingia ndani ya...

 

11 years ago

Michuzi

taswira toka bunge maalum la katiba mjini dodoma leo

 Mwenyekiti wa kamati ya maadili Mhe. Profesa Costa Mahalu akiteta jambo na katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Dkt. Thomas Kashilila kulia na Mhe.John Magufuli.  Spika wa Bunge la Jahmuri ya Muungano Mhe. Anna Makinda akijadiliana jambo na Mhe. Dkt Mohamed Seif Khatib  Wajumbe Mhe Machali  na Mhe.Mchungaji Kadiva wakijadiliana  Waziri mkuu mstaafu Mhe Edward Lowassa kulia aliyekaa akijadiliana jambo na Mhe.Philemon Ndesamburo Mhe.Andrew Chenge akijadiliana  jambo na Mhe. Sadifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani