Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhe.Kajubi Mkajanga ala kiapo kuwa mjumbe wa Bunge maalum la katika

Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe.Samweli Sitta akimwapisha mwakilishi wa vyombo vya habari katika bunge maalum Mhe.Kajubi Mkajanga mjini Dodoma leo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI KITWANGA ALA KIAPO CHA KUWA MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI YA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. Katikati ni Msajili wa Mahakama Kuu, Ilvin Mugeta.  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akisaini hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA ASHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MAREHEMU MICHAEL SATA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LA ZAMBIA MJINI LUSAKA LEO

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Sata ukiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia leo tayari kwa misa Maalum iliyoandaliwa kabla ya mazishi kufanyika hapo kesho.Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata kabla ya maziko yake kufanyika hapo kesho.Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu wa Zambia Mhe. Lupia Banda...

 

11 years ago

Habarileo

Mjumbe Bunge Maalum alazwa

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ziana Haji wa kundi la wajumbe 201, amelazwa katika Hospitali ya Mkoa Dodoma baada ya kupata mshtuko, alipopewa taarifa ya kifo cha baba yake.

 

11 years ago

CloudsFM

MJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA AJERUHIWA

Mjumbe wa bunge maalum la katiba kutoka kundi la 201,Thomas Magnus Mgoli amelazwa katika hospitali ya mkoa Dodoma baada ya kupigwa na wanaodaiwa kuwa 'vijana ambao mashabiki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)'. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi akiwa kitandani kwake, Mgoli amesema alishambuliwa na vijana hao jana usiku majira ya saa moja eneo la area D anakoishi.
Amesema vijana hao hukutana nao mara kwa mara anapokwenda dukani na huzungumzia masuala ya bunge hilo, lakini...

 

10 years ago

Habarileo

Mjumbe Bunge Maalum ataka Ukawa wapuuzwe

WATANZANIA wametakiwa kuwapuuza Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa maelezo kuwa Bunge Maalumu la Katiba likivunjwa na kurejea tena siku zijazo kundi hilo litatoka tena bungeni.

 

10 years ago

Habarileo

Mjumbe Bunge Maalum apiga kura hospitalini

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka kundi 201, Thomas Mgoli, ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, amelazimika kupiga kura hospitalini, kushiriki kufanya uamuzi wa ibara alizoshiriki kujadili katika Kamati yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani