Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mjumbe Bunge la Katiba apigwa, alazwa

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta (kulia) akimjulia hali Mjumbe wa Bunge Maalumu kutoka Kundi la 201, Thomas Mgoli aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma jana baada ya kujeruhiwa na watu wasiojulikana, waliomvamia wakati akipata huduma katika duka moja lililopo karibu na mahali anapoishi mjini humo usiku wa kuamkia jana. (Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge).MJADALA kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya, umeingia hatua nyingine baada ya Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Thomas Mgoli, kupigwa na kulazwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma na wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mjumbe Bunge Maalum alazwa

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ziana Haji wa kundi la wajumbe 201, amelazwa katika Hospitali ya Mkoa Dodoma baada ya kupata mshtuko, alipopewa taarifa ya kifo cha baba yake.

 

10 years ago

Mwananchi

Mjumbe Bunge Maalumu augua ghafla, alazwa

Mjumbe wa Bunge Maalumu, Asha Bakari Makame amelazimika kuwahishwa kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu baada ya kuzidiwa akiwa Dodoma ambako alikuwa akihudhuria vikao vya kamati.

 

10 years ago

Mwananchi

Ushuhuda wa Mjumbe wa Bunge la Katiba-3

Wiki iliyopita shuhuda wa simulizi hii Mwandishi Salma Said, alianza kuelezea yale yaliyojitokeza wakati wa upigaji kura ndani ya lililokuwa Bunge Maalumu la Katiba, ambapo aliishia sehemu ambayo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alitakiwa kuitisha kikao cha kuwaunganisha Wazanzibari kuzungumzia mahitaji yao.Endelea…

 

11 years ago

Habarileo

Mjumbe Bunge la Katiba afukuzwa

MJUMBE wa Bunge la Katiba, Rashid Yussuf Mshenga amefukuzwa uanachama wa Chama cha Wakulima (AFP). Kitendo hicho kimefanywa na Mwenyekiti wa chama hicho, Said Soud. Hata hivyo, Mshenga amepinga kitendo hicho na kudai ni matokeo ya wivu wa maendeleo.

 

10 years ago

Mwananchi

Ushuhuda wa Mjumbe wa Bunge la Katiba

Ningependa niandike simulizi za siku chache kabla ya upigaji kura namna ambavyo hali ngumu ilivyotukabili sisi watu saba ambao tuliamua kupiga kura ya hapana tena ya wazi, jinsi Wazanzibari wenzetu walivyotuchukulia kwa mtazamo tofauti kutoka nyumbani Zanzibar baadhi ya vijana walichapisha vipeperushi na kuvisambaza kwenye mitandao ya kijamii wakitutaka turudi nyumbani na kutuita wasaliti.

 

10 years ago

Mwananchi

Ushuhuda wa Mjumbe wa Bunge la Katiba-2

Ni kauli ya mjumbe aliyeshiriki mchakato wote wa Katiba ndani Bunge Maalumu, ikiwemo kuipigia kura rasimu.

 

10 years ago

Habarileo

Mjumbe ataka marekebisho Bunge la Katiba

SIKU chache baada ya Bunge Maalumu la Katiba (BMK) kupokea rasimu ya Katiba mpya iliyopendekezwa, mmoja wa wajumbe wa bunge hilo anayetoka kundi la 201, John Ndumbaro ameibukia mjini hapa na kutaka vipengele kadhaa vifanyiwe marekebisho.

 

11 years ago

Mwananchi

Mjumbe aonya machafuko Bunge la Katiba

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Khatibu Said Haji amesema Tanzania ipo hatarini kuingia katika mgogoro mkubwa wa kikatiba, kama Serikali ya CCM itaendelea kushinikiza muundo wa Serikali mbili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani