Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mjumbe aonya machafuko Bunge la Katiba

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Khatibu Said Haji amesema Tanzania ipo hatarini kuingia katika mgogoro mkubwa wa kikatiba, kama Serikali ya CCM itaendelea kushinikiza muundo wa Serikali mbili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SHEIKH OMARY AMPONGEZA JK KWA MCHAKATO WA KATIBA AONYA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA

Mmoja  kati ya  waumini  wa dini ya Kiislam  wa madhehebu ya Answaar Sunna iliyofanyika katika  uwanja  wa Mwembetogwa akitoka kuswali  Swala ys Idd leo katika  uwanja  wa Mwembetogwa  mjini  Iringa Sheikh Dhulkifilo Omari  kulia akiwa na baadhi ya  waumini mara baada ya  ibada  ya Idd el Fitr   leo katika  uwanja  wa Mwembetogwa  mjini  Iringa..............................................................................Na matukiodaimablog
Sheikh wa  msikiti  wa  Hidaya katika manispaa ya ...

 

11 years ago

Habarileo

Mjumbe Bunge la Katiba afukuzwa

MJUMBE wa Bunge la Katiba, Rashid Yussuf Mshenga amefukuzwa uanachama wa Chama cha Wakulima (AFP). Kitendo hicho kimefanywa na Mwenyekiti wa chama hicho, Said Soud. Hata hivyo, Mshenga amepinga kitendo hicho na kudai ni matokeo ya wivu wa maendeleo.

 

10 years ago

Mwananchi

Ushuhuda wa Mjumbe wa Bunge la Katiba-2

Ni kauli ya mjumbe aliyeshiriki mchakato wote wa Katiba ndani Bunge Maalumu, ikiwemo kuipigia kura rasimu.

 

10 years ago

Mwananchi

Ushuhuda wa Mjumbe wa Bunge la Katiba

Ningependa niandike simulizi za siku chache kabla ya upigaji kura namna ambavyo hali ngumu ilivyotukabili sisi watu saba ambao tuliamua kupiga kura ya hapana tena ya wazi, jinsi Wazanzibari wenzetu walivyotuchukulia kwa mtazamo tofauti kutoka nyumbani Zanzibar baadhi ya vijana walichapisha vipeperushi na kuvisambaza kwenye mitandao ya kijamii wakitutaka turudi nyumbani na kutuita wasaliti.

 

10 years ago

Mwananchi

Ushuhuda wa Mjumbe wa Bunge la Katiba-3

Wiki iliyopita shuhuda wa simulizi hii Mwandishi Salma Said, alianza kuelezea yale yaliyojitokeza wakati wa upigaji kura ndani ya lililokuwa Bunge Maalumu la Katiba, ambapo aliishia sehemu ambayo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alitakiwa kuitisha kikao cha kuwaunganisha Wazanzibari kuzungumzia mahitaji yao.Endelea…

 

11 years ago

Habarileo

Pengo aonya Bunge la Katiba

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali PengoASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo kwa mara ya kwanza amezungumzia Bunge Maalum la Katiba na kuwaonya Wajumbe wa Bunge hilo kutowagawa Watanzania wakati wa mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya.

 

11 years ago

GPL

MJUMBE AMTAKA JK AVUNJE BUNGE LA KATIBA

Rais Jakaya Kikwete. Stori: Mwandishi Wetu
KUFUATIA sintofahamu inayozuka kila kukicha ndani ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, mbunge mmoja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (jina tunalo) ameibuka na kumtaka Rais Kikwete ‘JK’ kulivunja bunge hilo. Akizugumza na Ijumaa Wikienda Jumamosi iliyopita kwa sharti la kutoandikwa jina lake gazetini, mbunge huyo kutoka Chama cha Mapinduzi ‘CCM’...

 

11 years ago

CloudsFM

MJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA AJERUHIWA

Mjumbe wa bunge maalum la katiba kutoka kundi la 201,Thomas Magnus Mgoli amelazwa katika hospitali ya mkoa Dodoma baada ya kupigwa na wanaodaiwa kuwa 'vijana ambao mashabiki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)'. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi akiwa kitandani kwake, Mgoli amesema alishambuliwa na vijana hao jana usiku majira ya saa moja eneo la area D anakoishi.
Amesema vijana hao hukutana nao mara kwa mara anapokwenda dukani na huzungumzia masuala ya bunge hilo, lakini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani