MJUMBE AMTAKA JK AVUNJE BUNGE LA KATIBA
![](http://api.ning.com:80/files/pVOWqi0dq19MBuTOZDEXuC4fVu1-OudvouqDRuOPOOLd9V8WCZFwxSO-WV7TEKJbaFgMvMkxmpb57r-*eSCUf4c1ULQ*tbtu/kikwete.jpg)
Rais Jakaya Kikwete. Stori: Mwandishi Wetu KUFUATIA sintofahamu inayozuka kila kukicha ndani ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, mbunge mmoja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (jina tunalo) ameibuka na kumtaka Rais Kikwete ‘JK’ kulivunja bunge hilo. Akizugumza na Ijumaa Wikienda Jumamosi iliyopita kwa sharti la kutoandikwa jina lake gazetini, mbunge huyo kutoka Chama cha Mapinduzi ‘CCM’...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Mbowe amtaka Kikwete avunje Baraza la Mawaziri
11 years ago
Michuzi27 Feb
11 years ago
Habarileo25 Feb
Mjumbe Bunge la Katiba afukuzwa
MJUMBE wa Bunge la Katiba, Rashid Yussuf Mshenga amefukuzwa uanachama wa Chama cha Wakulima (AFP). Kitendo hicho kimefanywa na Mwenyekiti wa chama hicho, Said Soud. Hata hivyo, Mshenga amepinga kitendo hicho na kudai ni matokeo ya wivu wa maendeleo.
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Ushuhuda wa Mjumbe wa Bunge la Katiba
10 years ago
Mwananchi19 Oct
Ushuhuda wa Mjumbe wa Bunge la Katiba-2
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Ushuhuda wa Mjumbe wa Bunge la Katiba-3
11 years ago
Mwananchi10 Apr
Mjumbe aonya machafuko Bunge la Katiba
10 years ago
Habarileo29 Sep
Mjumbe ataka marekebisho Bunge la Katiba
SIKU chache baada ya Bunge Maalumu la Katiba (BMK) kupokea rasimu ya Katiba mpya iliyopendekezwa, mmoja wa wajumbe wa bunge hilo anayetoka kundi la 201, John Ndumbaro ameibukia mjini hapa na kutaka vipengele kadhaa vifanyiwe marekebisho.
11 years ago
CloudsFM12 Aug
MJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA AJERUHIWA
Mjumbe wa bunge maalum la katiba kutoka kundi la 201,Thomas Magnus Mgoli amelazwa katika hospitali ya mkoa Dodoma baada ya kupigwa na wanaodaiwa kuwa 'vijana ambao mashabiki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)'. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi akiwa kitandani kwake, Mgoli amesema alishambuliwa na vijana hao jana usiku majira ya saa moja eneo la area D anakoishi.
Amesema vijana hao hukutana nao mara kwa mara anapokwenda dukani na huzungumzia masuala ya bunge hilo, lakini...