Pengo aonya Bunge la Katiba
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo kwa mara ya kwanza amezungumzia Bunge Maalum la Katiba na kuwaonya Wajumbe wa Bunge hilo kutowagawa Watanzania wakati wa mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi28 Jul
SHEIKH OMARY AMPONGEZA JK KWA MCHAKATO WA KATIBA AONYA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA
Sheikh wa msikiti wa Hidaya katika manispaa ya ...
11 years ago
Mwananchi10 Apr
Mjumbe aonya machafuko Bunge la Katiba
11 years ago
Mwananchi02 Mar
Pengo akemea masilahi binafsi Bunge la Katiba
11 years ago
Habarileo21 Apr
Pengo ahimiza Watanzania kuombea Bunge la Katiba
ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycap Kardinali Pengo, ametuma salamu za Pasaka kwa Watanzania wote huku akisisitiza kuliombea Bunge Maalumu la Katiba.
10 years ago
Mwananchi24 Apr
Pengo aonya kuhusu urais
10 years ago
Mtanzania29 Dec
Pengo aonya ufujaji wa Escrow
Na Elias Msuya, Dar es Salaam
IKIWA imebaki miezi 10 kufikia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, amewataka Watanzania walio masikini kuungana ili kuwang’oa madarakani viongozi matajiri wasiojali maslahi ya taifa.
Alisema kwa muda mrefu Watanzania wanafikiria ulimwengu utabadilishwa na watu wenye mabilioni na walio na fedha za Escrow jambo ambalo si sahihi.
Kauli hiyo aliitoa jijini Dar es Salaam juzi alipokuwa...
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
11 years ago
Habarileo05 Mar
Katiba ya Zanzibar imekosewa-Pengo
WAKATI maandalizi ya Bunge Maalumu la Katiba yakiendelea, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, amesema Katiba ya Zanzibar imekosewa na kosa hilo linahatarisha umoja wa Taifa.
10 years ago
Daily News16 Mar
Pengo speaks out on Katiba vote
Daily News
THE Roman Catholic Archbishop of Dar es Salaam, Polycarp Cardinal Pengo, has advised religious leaders to let their followers be guided by their will when voting for the referendum on the Proposed Constitution. Speaking in Dar es Salaam over the ...