Pengo aonya kuhusu urais
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, ambaye alizua kizaazaa bada ya kutofautiana na maaskofu wenzake kuhusu Kura ya Maoni, jana alizungumzia suala la urais, akivitaka vyama vya siasa kuwaengua makada wake wanaotumia fedha kusaka urais.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania29 Dec
Pengo aonya ufujaji wa Escrow
Na Elias Msuya, Dar es Salaam
IKIWA imebaki miezi 10 kufikia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, amewataka Watanzania walio masikini kuungana ili kuwang’oa madarakani viongozi matajiri wasiojali maslahi ya taifa.
Alisema kwa muda mrefu Watanzania wanafikiria ulimwengu utabadilishwa na watu wenye mabilioni na walio na fedha za Escrow jambo ambalo si sahihi.
Kauli hiyo aliitoa jijini Dar es Salaam juzi alipokuwa...
11 years ago
Habarileo02 Mar
Pengo aonya Bunge la Katiba
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo kwa mara ya kwanza amezungumzia Bunge Maalum la Katiba na kuwaonya Wajumbe wa Bunge hilo kutowagawa Watanzania wakati wa mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya.
10 years ago
BBCSwahili08 Oct
Mshauri wa WHO aonya kuhusu Ebola
10 years ago
BBCSwahili17 May
Nkurunziza aonya kuhusu Al Shaabab
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Baregu aonya kuhusu Bunge Maalumu
10 years ago
Mwananchi20 Jan
RC Njombe aonya viongozi kuhusu lumbesa
11 years ago
BBCSwahili12 Feb
Katibu mkuu wa UN aonya kuhusu ghasia-CAR
11 years ago
Habarileo20 Apr
Padri aonya wabunge kuhusu Katiba mpya
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wameaswa kutokubali kuvurugwa na vyama vyao vya siasa, wanapoandaa mchakato wa Katiba mpya, kwani kwa kufanya hivyo wanavuruga amani.
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AONYA WANAOPOTOSHA KUHUSU CORONA
Amesema kuanzia sasa taarifa hizo zitatolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na ikilazimika zitatolewa na Waziri Mkuu na ikilazimika sana zitatolewa na viongozi wakuu wa nchi ili kuepusha mikanganyiko.
Waziri Mkuu ametoa onyo hilo leo (Jumamosi, Machi 21, 2020)...