Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Padri aonya wabunge kuhusu Katiba mpya

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wameaswa kutokubali kuvurugwa na vyama vyao vya siasa, wanapoandaa mchakato wa Katiba mpya, kwani kwa kufanya hivyo wanavuruga amani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe wavutana kuhusu wabunge kuwajibishwa, kuwa na ukomo katika #Katiba Mpya

Kamati mbalimbali za Bunge Maalum la Katiba zimeendelea kuwasilisha taarifa zake leo huku suala la ukomo wa mbunge na suala la wananchi kumuwajibisha mbunge wao anaposhindwa kazi likizua mvutano.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngeleja aonya wabunge wa katiba

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, William Ngeleja, amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba litakaloanza vikao vyake wiki ijayo wasiweke mbele masilahi ya vyama wanapoijadili rasimu...

 

10 years ago

Habarileo

JK aonya wahujumu wa Katiba mpya

Rais Jakaya Kikwete akiwa na wakuu wapya wa wilaya aliowateua hivi karibuni baada ya kufungua semina elekezi ya uongozi mjini Dodoma juzi. Kushoto walioketi ni Katibu Mkuu wa Tamisemi, Jumanne Sagini, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, Waziri wa Tamisemi, Hawa Ghasia, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa na Naibu Waziri wa Tamisemi, Aggrey Mwanri. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete ameziagiza mamlaka za ulinzi na usalama kuhakikisha shughuli ya kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura, upigaji kura ya Katiba Inayopendekezwa unafanyika kwa amani na wasioitakia mema nchi wasibadilishe matukio hayo kuwa fujo na kuingiza nchi kwenye vurugu.

 

11 years ago

Habarileo

Shibuda aonya ushabiki wa wanahabari Katiba mpya

John ShibudaMB U N G E wa Maswa M a g h a r i b i , John Shibuda ( C h a d e m a ) , ameviasa vyombo vya habari nchini kuwa makini na aina ya uandishi wa habari za ushabiki ambazo hazijengi nchi, bali zinachochea na kuongeza chuki baina ya makundi yanayokinzana bungeni, hivyo kutofikia maridhiano ya kupata Katiba mpya.

 

11 years ago

Michuzi

TAMWA WATOA ELIMU KWA WABUNGE WANAWAKE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUZINGATIA MASUALA YA USAWA WA KIJINSIA WAKATI WA UTUNZI WA KATIBA MPYA.

Na Tiganya Vincent-Dodoma   Mwenyekiti wa Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Abdallah ametoa wito kwa wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba kufanya kazi kwa ushirikiano katika kuhakikisha kuwa wanaweka maslahi ya mwanamke mbele katika uandishi wa Katiba mpya na sio vinginevyo.   Mwenyekiti huyo ametoa kauli hiyo leo mjini Dodoma wakati anafungua semina ya siku moja ya wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge CCM wameguka Katiba Mpya

>Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza kumeguka baada ya baadhi ya wabunge wake ambao ni Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuunga mkono kauli ya Naibu Katibu Mkuu wake, Mwigulu Nchemba.

 

11 years ago

Michuzi

Zoezi la kuapishwa wabunge wa bunge maalum la katiba mpya laendelea vyema mjini dodoma

 Mhe. Mchungaji Christopher Mtikila, akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya mjini Dodoma leo katika zoezi linaloendelea vyema . Mhe. Emmanueli Makaidi akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya  Mhe Tundu Lisu akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya Mhe Mkosamali  akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Dodoma

 

11 years ago

BBCSwahili

Uamuzi wa wamisri kuhusu katiba mpya

Watu nchini Misri wameanza kupigia kura ya maamuzi katiba mpya huku hali ya usalama ikiwa imedhibitiwa vikali.

 

11 years ago

Michuzi

SHEIKH OMARY AMPONGEZA JK KWA MCHAKATO WA KATIBA AONYA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA

Mmoja  kati ya  waumini  wa dini ya Kiislam  wa madhehebu ya Answaar Sunna iliyofanyika katika  uwanja  wa Mwembetogwa akitoka kuswali  Swala ys Idd leo katika  uwanja  wa Mwembetogwa  mjini  Iringa Sheikh Dhulkifilo Omari  kulia akiwa na baadhi ya  waumini mara baada ya  ibada  ya Idd el Fitr   leo katika  uwanja  wa Mwembetogwa  mjini  Iringa..............................................................................Na matukiodaimablog
Sheikh wa  msikiti  wa  Hidaya katika manispaa ya ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani