Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zoezi la kuapishwa wabunge wa bunge maalum la katiba mpya laendelea vyema mjini dodoma

 Mhe. Mchungaji Christopher Mtikila, akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya mjini Dodoma leo katika zoezi linaloendelea vyema . Mhe. Emmanueli Makaidi akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya  Mhe Tundu Lisu akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya Mhe Mkosamali  akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Dodoma

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Zoezi la kuapishwa wabunge wateule laendelea

Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea na zoezi la kuwaapisha wabunge wateule mbele ya Spika Job Ndugai.

Kiapo cha wabunge hao ni ishara ya kupokea na kuanza majukumu yao ya kuwawakilisha wananchi.

Hiki ni kikao cha pili cha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Zoezi la kuapishwa wabunge wateule limeanza majira ya saa tatu asubuhi baada ya kuahirishwa jana.

Baadhi ya wabunge waliopata nafasi ya kuapishwa asubuhi ya leo wamekula kiapo cha utii na uaminifu...

 

10 years ago

Vijimambo

RASIMU KATIBA MPYA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza kikao cha bunge hilo leo mjini Dodoma, wakati ikiwasilishwa Rasimu ya katiba iliyopendekezwa.

 Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalumu la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya ukumbi wa bunge hilo siku ya Jumanne 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa,...

 

11 years ago

Michuzi

taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.  Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe Said Mtanda na wenzake  jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.   Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba  Joshua Nasari(kushoto) akibadilishana mawazo...

 

10 years ago

Michuzi

RASIMU KATIBA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI LEO KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, leo 24 Septemba, 2014. Kulia ni mjumbe wa Bunge hilo, Dkt. Tulia Ackson. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalu la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali Waziri Mkuu Pinda kutoka Bunge mjini Dodoma linakoendelea Bunge Maalum la Katiba

PG4A9843

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Peter Serukamba  (kushoto) na Abdulkarim Shah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9873

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Abdulkarim Shah (kushoto) na Ayman Jafari kutoka kikundi cha Tulee Yatima Tanzania cha Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9890

Wajumbe wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Yaliyojiri Bunge maalum la Katiba mjini Dodoma

PG4A6513

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, William Lukuvi akichangia Bungeni Mjini  Dodoma  Aprili 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A6564

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglican Tanzania, Donald Mtetemela akichangia Bungeni mjini Dodoma.

PG4A6581

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kuga Mzray akichangia Bungeni Mjini Dodoma.

PG4A6604

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samueli Sitta...

 

11 years ago

Michuzi

Taswira la Bunge Maalum la Katiba liivyoanza mjini Dodoma

 Mwenyekiti wa Muda wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Pandu Ameir Kificho akiwashukuru wajumbe wa Bunge hilo baada ya kuchaguliwa.  Muonekano wa Ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba wakati wajumbe wakisubiri kupiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa muda  Mchakato wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba   Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akifafanua jambo  kabla ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba.   Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani