Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zoezi la kuapishwa wabunge wateule laendelea

Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea na zoezi la kuwaapisha wabunge wateule mbele ya Spika Job Ndugai.

Kiapo cha wabunge hao ni ishara ya kupokea na kuanza majukumu yao ya kuwawakilisha wananchi.

Hiki ni kikao cha pili cha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Zoezi la kuapishwa wabunge wateule limeanza majira ya saa tatu asubuhi baada ya kuahirishwa jana.

Baadhi ya wabunge waliopata nafasi ya kuapishwa asubuhi ya leo wamekula kiapo cha utii na uaminifu...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Zoezi la kuapishwa wabunge wa bunge maalum la katiba mpya laendelea vyema mjini dodoma

 Mhe. Mchungaji Christopher Mtikila, akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya mjini Dodoma leo katika zoezi linaloendelea vyema . Mhe. Emmanueli Makaidi akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya  Mhe Tundu Lisu akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya Mhe Mkosamali  akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Dodoma

 

10 years ago

GPL

ZOEZI KUKAMATA BODABODA ZINAZOINGIA POSTA, KARIAKOO LAENDELEA

Askari akitaka kuona leseni ya bodaboda. Jamaa akijitayarisha kutoa leseni.…

 

10 years ago

Michuzi

ZOEZI LA MAOMBI YA PASIPOTI KWA WATANZANIA NCHINI ITALI LAENDELEA

Maofisa wa Uhamiaji kutoka Dar Es Salaam na Zanzibar wameanza zoezi la kupokea maombi ya pasipoti kutoka kwa Watanzania waliopo nchini Italy. Maofisa hao wanategemewa kuelekea katika nchi za Turkey na Greece,kwa ajili ya zoezi hilo hilo.
 Haya ni matunda ya Kamati ya Diaspora iliyokutana na Mh Balozi James Alex Msekela, mwezi juni mwaka huu. Kamati ilikutana na balozi na maofisa wa juu wa kibalozi kwa ajili ya kutambulisha kamati na uongozi wake,na pia kuwakilisha kero na matatizo ya...

 

9 years ago

Michuzi

ZOEZI LA UPIGAJI KURA LAENDELEA KWA UTULIVU NA AMANI VISIWANI ZANZIBAR

 Baadhi ya Wananchi wakihakiki majina yao tayari kwa kupiga kura ya kuwachangua Marais, Wabunge, wawakilishi na Madiwani hapo katika kituo cha kupiga kura skuli ya Sekondari Kitope Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja.  Wananchi wakihakiki majina yao tayari kwa kupiga kura ya kuwachangua Marais, Wabunge, wawakilishi na Madiwani hapo katika kituo cha kupiga kura skuli ya Sekondari Kitope Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja.Baadhi ya Wananchi wakiwa katika foleni kwa...

 

11 years ago

Michuzi

zoezi la upigaji kura kuchagua mbunge wa jimbo la kalenga laendelea kwa utulivu

Wananchi  wa Nyamihuu wakiwa wamepakizana katika  boda boda  kwenda  kupiga kura Wananchi  wa Kidamali  wakiwa katika foleni ya kwenda  kupiga  kura mmoja kati ya  wazee  eneo la Nzihi akitoka  kupiga kura  kumchagua mgombea anayemtaka Wananchi  wa Nzihi  wakiwa katika  foleni wakisubiri kupiga  kura

 

10 years ago

GPL

NDEGE YA UJERUMANI: ZOEZI LA UTAFUTAJI MIILI LAENDELEA, KINASA SAUTI CHAPATIKANA KIKIWA KIMEHARIBIKA

Baadhi ya mabaki ya ndege ya Ujerumani aina ya Airbus A320 baada ya ajali. Helkopta ikielekea eneo la tukio kuendelea na uchunguzi. Kinasa sauti cha ndege hiyo kilichopatikana kikiwa kimeharibika. ZOEZI la utafutaji miili ya watu 150 waliopoteza maisha…

 

9 years ago

Michuzi

ZOEZI LA KUWASAJILI WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU ,WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA

 Mtoto Baraka Dombeni, akiwa na mama yake Bizimana Violet, akivishwa alama ya utambuzi muda mfupi baada ya kuwasili jana katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu, akitokea Wilaya ya Makamba nchini Burundi. Alama hii ni utambulisho wa kuwawezesha wakimbizi wanaofika katika kambi ya Nyarugusu kuandikishwa rasmi kabla ya kupewa hifadhi kambini hapo. Afisa Msajili Msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia wakimbizi (UNHCR), Awadhi Nyanda akichukua taarifa toka kwa familia mojawapo ya...

 

9 years ago

Vijimambo

ZOEZI LA KUGAWA CHAKULA LAENDELEA KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU ILIYOKO WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA

Wakimbizi kutoka nchini Burundi walioko katika kambi ya Nyarugusu wakiwa wamebeba shehena ya unga wa mahindi jana, muda mfupi baada ya kugawiwa chakula hicho Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP), lililoweka kituo chake katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.Byesige Josephat (anayemimina mafuta) na Hezron Mtangirwa(kushoto), wakimbizi kutoka Burundi waliohifadhiwa katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu wakipima mafuta ili waweze kuyagawa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani