Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZOEZI KUKAMATA BODABODA ZINAZOINGIA POSTA, KARIAKOO LAENDELEA

Askari akitaka kuona leseni ya bodaboda. Jamaa akijitayarisha kutoa leseni.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TRAFIKI DAR WAENDESHA ZOEZI LA KUKAMATA BODABODA ZISIZOFUATA SHERIA

    askari wa usalama barabarani wakiwa wamezikamata baadhi ya pikipiki ambazo madereva wake wamekutwa na makosa mbalimbali eneo la Mbagala Rangi Tatu asubuhi hii,ambapo walilazimika kulipa faini ya shilingi 30,000/=     askari wa usalama barabarani wakiendelea na ukaguzi wa bodaboda.
            Vijana wakipandisha… ...

 

9 years ago

StarTV

Zoezi la kuapishwa wabunge wateule laendelea

Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea na zoezi la kuwaapisha wabunge wateule mbele ya Spika Job Ndugai.

Kiapo cha wabunge hao ni ishara ya kupokea na kuanza majukumu yao ya kuwawakilisha wananchi.

Hiki ni kikao cha pili cha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Zoezi la kuapishwa wabunge wateule limeanza majira ya saa tatu asubuhi baada ya kuahirishwa jana.

Baadhi ya wabunge waliopata nafasi ya kuapishwa asubuhi ya leo wamekula kiapo cha utii na uaminifu...

 

10 years ago

Michuzi

ZOEZI LA MAOMBI YA PASIPOTI KWA WATANZANIA NCHINI ITALI LAENDELEA

Maofisa wa Uhamiaji kutoka Dar Es Salaam na Zanzibar wameanza zoezi la kupokea maombi ya pasipoti kutoka kwa Watanzania waliopo nchini Italy. Maofisa hao wanategemewa kuelekea katika nchi za Turkey na Greece,kwa ajili ya zoezi hilo hilo.
 Haya ni matunda ya Kamati ya Diaspora iliyokutana na Mh Balozi James Alex Msekela, mwezi juni mwaka huu. Kamati ilikutana na balozi na maofisa wa juu wa kibalozi kwa ajili ya kutambulisha kamati na uongozi wake,na pia kuwakilisha kero na matatizo ya...

 

9 years ago

Michuzi

ZOEZI LA UPIGAJI KURA LAENDELEA KWA UTULIVU NA AMANI VISIWANI ZANZIBAR

 Baadhi ya Wananchi wakihakiki majina yao tayari kwa kupiga kura ya kuwachangua Marais, Wabunge, wawakilishi na Madiwani hapo katika kituo cha kupiga kura skuli ya Sekondari Kitope Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja.  Wananchi wakihakiki majina yao tayari kwa kupiga kura ya kuwachangua Marais, Wabunge, wawakilishi na Madiwani hapo katika kituo cha kupiga kura skuli ya Sekondari Kitope Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja.Baadhi ya Wananchi wakiwa katika foleni kwa...

 

11 years ago

Michuzi

zoezi la upigaji kura kuchagua mbunge wa jimbo la kalenga laendelea kwa utulivu

Wananchi  wa Nyamihuu wakiwa wamepakizana katika  boda boda  kwenda  kupiga kura Wananchi  wa Kidamali  wakiwa katika foleni ya kwenda  kupiga  kura mmoja kati ya  wazee  eneo la Nzihi akitoka  kupiga kura  kumchagua mgombea anayemtaka Wananchi  wa Nzihi  wakiwa katika  foleni wakisubiri kupiga  kura

 

11 years ago

Michuzi

Zoezi la kuapishwa wabunge wa bunge maalum la katiba mpya laendelea vyema mjini dodoma

 Mhe. Mchungaji Christopher Mtikila, akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya mjini Dodoma leo katika zoezi linaloendelea vyema . Mhe. Emmanueli Makaidi akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya  Mhe Tundu Lisu akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya Mhe Mkosamali  akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Dodoma

 

10 years ago

GPL

NDEGE YA UJERUMANI: ZOEZI LA UTAFUTAJI MIILI LAENDELEA, KINASA SAUTI CHAPATIKANA KIKIWA KIMEHARIBIKA

Baadhi ya mabaki ya ndege ya Ujerumani aina ya Airbus A320 baada ya ajali. Helkopta ikielekea eneo la tukio kuendelea na uchunguzi. Kinasa sauti cha ndege hiyo kilichopatikana kikiwa kimeharibika. ZOEZI la utafutaji miili ya watu 150 waliopoteza maisha…

 

10 years ago

GPL

BODABODA KIBANONI POSTA

Polisi jamii wakiwa wamekamata Pikipiki. KAMERA ya GPL imenasa tukio la dereva boda boda akiwa amekamatwa na polisi jamii, baada ya kuingia maeneo ya Posta, jijini Dar es Salaam, huku sheria zikiwa zimekataza kwa waendesha bodaboda kuingia au kufanya biashara maeneo ya mjini. (abari/Picha: Gabriel Ng’osha/GPL) 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani