BODABODA KIBANONI POSTA
Polisi jamii wakiwa wamekamata Pikipiki. KAMERA ya GPL imenasa tukio la dereva boda boda akiwa amekamatwa na polisi jamii, baada ya kuingia maeneo ya Posta, jijini Dar es Salaam, huku sheria zikiwa zimekataza kwa waendesha bodaboda kuingia au kufanya biashara maeneo ya mjini. (abari/Picha: Gabriel Ng’osha/GPL)Â
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLZOEZI KUKAMATA BODABODA ZINAZOINGIA POSTA, KARIAKOO LAENDELEA
9 years ago
Dewji Blog10 Oct
Posta waadhimisha Siku ya Posta Duniani jijini Dar es Salaam
Wafanyakazi na wadau wa Shirika la Posta nchini (TPC), wa ndani na nje ya nchi wakiwa katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani kwenye jengo la Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), jijini Dar es Salaam jana. Maadhimisho hayo, huadhimishwa duniani kote Oktoba 9. (Picha zote na Kassim Mbarouk- www.bayana.blogspot.com)
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Elia Madulesi (kulia), akiteta jambo na mmoja wa Maofisa wa shirika hilo, wakati...
10 years ago
MichuziJAMBO LEO YAICHABANGA BODABODA FC TAMASHA LA BODABODA UKONGA
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Posta Tabora watoa msaada
SHIRIKA la Posta mkoani Tabora, wametembelea kituo cha watu wasiojiweza cha Kanisa Katoliki kilichoko katika manispaa ya Tabora na kutoa misaada ya mbalimbali. Misaada waliyotoa ni Juisi katoni tatu, sukari...
10 years ago
GPLNISHA AWACHEZEA WANAFUNZI POSTA
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Posta kuendelea kuboresha huduma
SHIRIKA la Posta Tanzania limewaomba watumiaji na wananchi kwa ujumla waendelee kuwa na imani na huduma za posta. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana katika maadhimisho...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Daladala kurejea Posta, Kivukoni
MAMLAKA ya Usafirishaji Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imetangaza kurejesha safari za daladala kwenda Kivukoni mwishoni mwa mwezi huu. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Mfawidhi...
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Nelly Muosha Magari wa Posta-19
Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale sharobaro Nelly alipoulizwa na fundi Yassin alijisikiaje kufanya kazi ya ufundi ambapo kijana huyo alimwambia alijisikia vizuri kwani mtoto wa kiume hapaswi kuchagua kazi. Je, kilifuatia nini? Songa mbele na utamu huu…
“Kama ni hivyo, poa sana tena kadiri tutakavyokuwa pamoja nitakufundisha kazi kibao,” fundi Yassin alimwambia Nelly.
Kwa kuwa gari lilikuwa likienda kwa kasi, kufumba na kufumbua walifika Tegeta ambapo walipanda basi la kuelekea...
10 years ago
BBCSwahili14 Oct
Huduma za Posta zarejeshwa Somalia