Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Posta Tabora watoa msaada

SHIRIKA la Posta mkoani Tabora,  wametembelea kituo cha watu wasiojiweza  cha Kanisa Katoliki kilichoko katika manispaa ya Tabora na kutoa misaada ya  mbalimbali. Misaada waliyotoa ni Juisi katoni tatu, sukari...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Benki ya Posta yawapa msaada waathirika wa mvua ya mawe Kahama

Meneja wa Benki ya Posta Tawi la Shinyanga Lawrence Munisi (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kahama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maafa Benson Mpesya (kushoto) msaada wa tani saba na nusu za saruji kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokana na mvua yam awe yaliyotokea kijiji cha Mwakata Wilaya ya Kahama.Meneja wa Benki ya Posta Tawi la Shinyanga Lawrence Munisi (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kahama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maafa Benson Mpesya (kushoto) msaada wa tani saba na nusu za saruji kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokana na mvua yam awe yaliyotokea kijiji cha Mwakata Wilaya ya Kahama.Mkuu wa Wilaya ya Kahama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maafa Benson Mpesya (kulia) akitoa shukrani kwa Benki ya Posta mara baada ya kupokea msaada wa tani saba na nusu za mifuko ya saruji zilizotolewa na benki hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Kahama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maafa Benson Mpesya (kulia) akitoa shukrani kwa Benki ya Posta mara baada ya kupokea msaada wa tani saba na nusu za mifuko ya saruji...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA POSTA YATOA MSAADA WA MABATI 100 KUSAIDIA KUPAUA SHULE SINGIDA


Mkurugenzi Rasilimali Watu na Utawala wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Diana Myonga (wa tatu kushoto) akimkabidhi Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe (wa nne kutoka kushoto) moja ya bati kati ya 100 yaliyotolewa mwishoni mwa wiki na benki hiyo kwa ajili ya kupaua madarasa ya shule mkoani humo. Kutoka kushoto ni Kaimu Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa benki hiyo, Chichi Banda, Meneja wa TPB Tawi la Singida, Redemter Rweyemamu. Wengine ni Wenyeviti wa Vikundi...

 

9 years ago

Vijimambo

BENKI YA POSTA TAWI LA DODOMA YAKABIDHI MSAADA WA KOMYUTA KATIKA SHULE YA TUMAINI ENGLISH MEDIUM ACADEMY

 Meneja wa Benki ya Posta Tanzania Tawi la Dodoma Twaha Halfan (kushoto ) akimkabidhi Meneja wa Tumaini English Medium Academy ya Nkhungu Dodoma Jaffety Biseko Moja ya Kompyuta kati ya 10 ambazo zote kwa ujumla zina Thamani zaidi ya 4mil, kwa ajili ya kuimalisha darasa la kompyuta shuleni hapo hususani katika somo la tehama. Mwalimu Tabitha Isanzu wa somo la Tehama katika  chumba cha komputa katika shule ya Tumaini English Medium Academy ya Nkhungu Dodoma, akiwaelekeza wanafunzi namna ya...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA POSTA TANZANIA YATOA MSAADA VITU MBALIMBALI KWA WODI YA WATOTO WENYE MAGONJWA YA SARATANI MUHIMBILI

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Mystica Ngongi akimkabidhi hundi ya sh. milioni 2 Mkuu wa Idara ya Ustawi ya Jamii Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula kwa ajili ya wagonjwa wa saratani watoto waliolazwa katika hospitali hiyo. Kushoto ni Meneja Mahusiano Mwandamizi TPB, Noves Moses. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Mystica Ngongi (wa pili kushoto)...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muslim Agency watoa msaada wa mil. 60/-

WAATHIRIKA wa mafuriko yaliyotokea katika vijiji vya Magole na Mateteni wilayani Kilosa, Morogoro  wamepewa msaada wa sh milioni 60 na Taasisi ya Kimatifa ya Afrika Muslim Agency. Msaada huo ni...

 

9 years ago

Dewji Blog

Posta waadhimisha Siku ya Posta Duniani jijini Dar es Salaam

Wafanyakazi na wadau wa Shirika la Posta nchini (TPC), wa ndani na nje ya nchi wakiwa katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani kwenye jengo la Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), jijini Dar es Salaam jana. Maadhimisho hayo, huadhimishwa duniani kote Oktoba 9. (Picha zote na Kassim Mbarouk- www.bayana.blogspot.com)

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Elia Madulesi (kulia), akiteta jambo na mmoja wa Maofisa wa shirika hilo, wakati...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyakazi Airtel watoa msaada Ocean Road

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kupitia Umoja wa Wanawake ujulikanao kama ‘Airtel Divas’ umetoa msaada wa vifaa vya hospitali kwa ajili ya wagonjwa wanaosumbuliwa na magonjwa ya...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL DIVAS WATOA MSAADA KWA WANAMAKE WASIOJIWEZA

Mgeni Rasmi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Kazi Services Ltd, Zuhura Muro (kushoto), huku akisaidiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kikundi cha Wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Divas’, Happy John wakikata keki kuashiria uzinduzi rasmi wa kikundi hicho, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katika uzinduzi huo, Airtel iliweza kukisadia Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel Divas watoa msaada kwa wanawake wasiojiweza

Umoja wa wafanyakazi wanawake wa Airtel ujulikanao kama Airtel Divas umejitoa kuwasaidia na Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu Tanzania (SWAUTA )  kilichopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi hao wa Airtel walifanya uzinduzi rasmi wa Airtel Divas  na kualika kikundi cha SWAUTA kuonyesha na kuuza bidhaa zao kwa wafanyakazi wa Airtel na kuwawezesha kupata fedha kwaajili ya kuwa na banda lao katika maonyesho ya 38 ya kimataifa  ya SABASABA.
Akiongea wakati wa uzinduzi huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani