Muslim Agency watoa msaada wa mil. 60/-
WAATHIRIKA wa mafuriko yaliyotokea katika vijiji vya Magole na Mateteni wilayani Kilosa, Morogoro wamepewa msaada wa sh milioni 60 na Taasisi ya Kimatifa ya Afrika Muslim Agency. Msaada huo ni...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-HK65PW46XKM/XtjQRage0WI/AAAAAAALsmc/MLJ7db3EYkIM5dqvvVIC9SarOP1RoFSbQCLcBGAsYHQ/s72-c/DSC_0059.jpg)
TAASISI YA CSEE, CHILD FUND KOREA WATOA MSAADA WA VIFAA KUKABILIA VIRUSI VYA CORONA VYA THAMANI YA MIL 40/- KARATU
Na Woinde Shizza, KARATU
TAASISI ya Community Aid and Social Education Empowerment (CSEE) kwa kushirikiana na Child Fund Korea ambao wamejikita katika kusaidia watoto dhidi ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona wametoa msaada wa vifaa venye thamani ya shilingi million 40 kwa Wilaya ya Karatu.
Msaada huo ni vifaa vya kukabiliana na virusi vya corona ambavyo ni pamoja na spika za sauti za kusaidia kuelimishia jamii sehemu mbalimbali zenye shughuli zinazokusanya watu wengi kwa ...
11 years ago
Habarileo03 Mar
CCM watoa rambirambi mil.1/-, Chadema 50,000/-
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa Sh milioni moja kwa familia tatu zilizofiwa na ndugu zao katika ajali mbaya ya gari, iliyotokea Februari 27, katika mlima wa Ipwasu, jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini.
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Posta Tabora watoa msaada
SHIRIKA la Posta mkoani Tabora, wametembelea kituo cha watu wasiojiweza cha Kanisa Katoliki kilichoko katika manispaa ya Tabora na kutoa misaada ya mbalimbali. Misaada waliyotoa ni Juisi katoni tatu, sukari...
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Msaada Mvomero wagharimu mil. 12/-
CHAMA cha Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS) kimetumia zaidi ya sh milioni 12 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa mbalimbali kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni Wilaya ya Mvomero, Morogoro....
10 years ago
Tanzania Daima13 Sep
Shule yapatiwa msaada wa mil 14/-
MFANYABIASHARA na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Arif Abri ametoa msaada wa sh milioni 14 kwa shule ya Sekondari ya Nyerere iliyopo wilaya ya Iringa kwa...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Wafanyakazi Airtel watoa msaada Ocean Road
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kupitia Umoja wa Wanawake ujulikanao kama ‘Airtel Divas’ umetoa msaada wa vifaa vya hospitali kwa ajili ya wagonjwa wanaosumbuliwa na magonjwa ya...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-DbQ2tuw9UFI/U6KxDpd-BQI/AAAAAAAFro8/NijwOtE43G4/s72-c/1A.jpg)
Airtel Divas watoa msaada kwa wanawake wasiojiweza
Wafanyakazi hao wa Airtel walifanya uzinduzi rasmi wa Airtel Divas na kualika kikundi cha SWAUTA kuonyesha na kuuza bidhaa zao kwa wafanyakazi wa Airtel na kuwawezesha kupata fedha kwaajili ya kuwa na banda lao katika maonyesho ya 38 ya kimataifa ya SABASABA.
Akiongea wakati wa uzinduzi huo...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-dYgRvcbegI0/U4wuqF1zFzI/AAAAAAAFnGE/djHbOppD0Bw/s72-c/1.jpg)
Wafanyakazi wa Airtel watoa msaada hospitali ya Ocean Road
![](http://4.bp.blogspot.com/-dYgRvcbegI0/U4wuqF1zFzI/AAAAAAAFnGE/djHbOppD0Bw/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-btmcYkRs8yo/U4wv9iT0w-I/AAAAAAAFnHg/blg_btldfhg/s1600/2a.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fF4HFdlaoO4taT-NXmjX4frUFa6MOsqQlbdc1iQOykigLTy9gc8ZE10w57shs0kC6g53eybPucTp*BYr5wIEpYsNTV5V0TL-/1A.jpg?width=650)
AIRTEL DIVAS WATOA MSAADA KWA WANAMAKE WASIOJIWEZA