Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL DIVAS WATOA MSAADA KWA WANAMAKE WASIOJIWEZA

Mgeni Rasmi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Kazi Services Ltd, Zuhura Muro (kushoto), huku akisaidiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kikundi cha Wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Divas’, Happy John wakikata keki kuashiria uzinduzi rasmi wa kikundi hicho, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katika uzinduzi huo, Airtel iliweza kukisadia Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Airtel Divas watoa msaada kwa wanawake wasiojiweza

Umoja wa wafanyakazi wanawake wa Airtel ujulikanao kama Airtel Divas umejitoa kuwasaidia na Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu Tanzania (SWAUTA )  kilichopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi hao wa Airtel walifanya uzinduzi rasmi wa Airtel Divas  na kualika kikundi cha SWAUTA kuonyesha na kuuza bidhaa zao kwa wafanyakazi wa Airtel na kuwawezesha kupata fedha kwaajili ya kuwa na banda lao katika maonyesho ya 38 ya kimataifa  ya SABASABA.
Akiongea wakati wa uzinduzi huo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyakazi Airtel watoa msaada Ocean Road

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kupitia Umoja wa Wanawake ujulikanao kama ‘Airtel Divas’ umetoa msaada wa vifaa vya hospitali kwa ajili ya wagonjwa wanaosumbuliwa na magonjwa ya...

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Airtel watoa msaada hospitali ya Ocean Road

Mwenyekiti wa kikundi cha wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Diva’, Amitin Mbamba (kulia), akikabidhi msaada wa machela za kisasa mbili, ‘wheel chair’ mbili na bidhaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya milioni 5/-, kwa Muuguzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Mary Haule, kwaajili ya matumizi ya wagongwa katika taasisi hiyo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia ni wanachama wa Airtel Diva. Mwenyekiti wa kikundi cha wanawake wafanyakazi wa...

 

10 years ago

GPL

WOLPER ATOA MSAADA KWA WAZEE WASIOJIWEZA JIJINI DAR

Jacqueline Wopler (kushoto) akibeba mfuko wa sukari. Vyakula vilivyotolewa na Jacqueline Wolper katika kituo cha kulelea wazee wasiojiweza kituo cha  Msimbazi Centre  jijini Dar.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Airtel Divas yasaidia wanawake walemavu

UMOJA wa Wafanyakazi Wanawake wa Kampuni ya Airtel (Airtel Divas) umejitoa kusaidia Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu Tanzania (Swauta) kilichopo Kinondoni, Dar es Salaam. Wafanyakazi hao wa Airtel...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel Divas yatembelea kikundi cha Sauti ya walemavu kwenye Maonyesho ya Biashara ya Sabasaba

Wanachama wa Kikundi cha Wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Divas’, Meneja wa Huduma kwa Jamii, Hawa Bayumi (kushoto), Afisa Uhusiano, Jane Matinde (wa pili kushoto), na Afisa mauzo, Rachael Mboya (kulia), wakichagua bidhaa zilizotengenezwa na Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu Tanzania (SWAUTA) cha Kinondoni, walipotembelea Banda la Swauta, lililopo katika Uwanja wa Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam jana. Airtel...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL DIVAS YATEMBELEA KIKUNDI CHA SAUTI YA WALEMAVU KATIKA MAONYESHO YA BIASHARA YA SABASABA

Afisa Mauzo wa Airtel , Rachael Mboya,akiangalia kazi ya kikundi cha ulemavu ikiwemo kushona na uwezo wa kusoma vitabu mbalimbali vilivyopo katika banda lao wakati wanawake wa Airtel Divas walipotembelea banda lao katika maoenyesho ya sabasaba.
Baadhi ya wafanyakazi wa Airtel wakiwa katika picha ya pamoja na kikundi SWAUTA katika banda lao kwenye maonyesho ya Sabasaba, ambapo Airtel Divas… ...

 

5 years ago

Michuzi

MGAHAWA WA THE KOFFEE SHOP WATOA MSAADA KWA WANAHABARI IRINGA

NA DENIS MLOWE, IRINGA

MGAHAWA wa kisasa wa The Koffee Shop ulioko manispaa ya Iringa umetoa msaada wa vitakasa mikono 150 na barakao 100 na ndoo 15 kwa waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari vya mkoa wa Iringa ili waweze kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona.

Akizungumzia msaada huo mwakilishi wa The Koffe Shop Charles Cosmas kwa niaba ya Mkurugenzi wa mgahawa huo, Ahmed Salim Abri alisema wameamua kusaidia kundi hilo kutokana na mchango...

 

10 years ago

Vijimambo

MFUKO WA GEPF WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI

Meneja Masoko wa Mfuko wa GEPF, Bw. Aloyce Ntukamazina akiongea na vyombo vya habari juu ya mipango ya Mfuko huo kutoa misaada kwa jamii hasa kwa wale wenye mahitaji kama walemavu wa ngozi (Albino) katika shule ya matumaini ya Jeshi la Wokovu iliyopo Kurasini.
Mtoto Maria Mwingira akipokea msaada wa mafuta maalum ambayo hukinga ngozi yao wakati wa jua kali kutoka kwa Meneja Masoko wa GEPF, Bw. Aloyce Ntukamazina.Kijana Salum Iddi akitoa neno la shukurani kwa Mfuko wa GEPF kwa niaba ya watoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani