Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WOLPER ATOA MSAADA KWA WAZEE WASIOJIWEZA JIJINI DAR

Jacqueline Wopler (kushoto) akibeba mfuko wa sukari. Vyakula vilivyotolewa na Jacqueline Wolper katika kituo cha kulelea wazee wasiojiweza kituo cha  Msimbazi Centre  jijini Dar.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

SIKU YAKE YA KUZALIWA: Jackline Wolper Awatembea Wazee Wasiojiweza

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Muigizaji  Jackline Wolper, akiongozana na baadhi ya waigizaji wenzie wakiwemo Kajala na Nanaiki, Wamewatembelea  wazee wasio jiweza na hiki ndicho alicho andika kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM

“Jamani wapenzi wangu flwz wangu wote sku yangu yakuzaliwa ilikua poa saana jmn am happy nimetembelea ktuo hiki cha wazee wasojiweza kinachosimamiwa na masista ...kiukwel namshukuru Mungu kwa moyo waupendo namapenzi kuwaza nakukumbuka kma kuna watu kma hawa ambao pia...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WATOTO YATIMA ,MAHABUSU YA WATOTO PAMOJA NA WAZEE WASIOJIWEZA

Watawa wa kituo cha kulea watoto yatima cha Mburahati wakipokea msaada wa Mbuzi,Mchele na Mafuta uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete, kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo katika hafla iliyofanyika leo katika Mahabusu ya Watoto Jijini Dar es Salaam. Mwakilishi wa Kituo cha Darul Alqam, Shaban Mohamed akipokea msaada wa Mbuzi,Mchele na Mafuta uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete, kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo katika hafla...

 

9 years ago

Michuzi

Asasi ya Tushikamane Pamoja Foundation (TPF) yawaandalia Wazee wasiojiweza sherehe ya Krismas na Mwaka Mpya Courtyard protea hotel jijini Dar es salaam

Taswira za shughuli malumu ya chakula cha mchana iliyofanyika pale Courtyard Protea hotel ya Sea View jijini Dar es salam  kwa ajili ya wazee wasiojiweza wanaosaidiwa na Asasi ya Tushikamane Pamoja Foundation siku ya Jumamosi tarehe 19 Desemba, 2015. Shughuli iliandaliwa na uongozi wa  Protea na Rickshaw kwa ajili ya kusherehekea Krismas na mwaka mpya. Jumla ya wazee 60 na wajukuu wao  walikaribishwa na kusaidiwa na wafanyakazi wa Protea. Viongozi pamoja na wahudumu waliopokea wageni wao...

 

9 years ago

Michuzi

MKUBWA FELLA ATOA MSAADA KATIKA HOSPITALI YA MBAGALA ZAKHEM JIJINI DAR

 Mkurugenzi wa taasisi ya Mkubwa na Wanawe, Said Fella 'Mkubwa Fella' akiwa na baadhi ya mtoto katika hospitali hiyo.
Mkurugenzi wa taasisi ya Mkubwa na Wanawe, Said Fella 'Mkubwa Fella' akikabidhi msaada katika hospitali ya Mbagala Zakhem Jijini Dar es Salaam ikipokelewa na Dk. Silas Adam.
Mwandishi Wetu
TAASISI ya Mkubwa na Wanawe inayomilikiwa na Mkurugenzi wake Said Fella 'Mkubwa Fella' jana ilitembelea Wodi ya Wanawake na Watoto katika Hospital ya Mbagala Zakhem Jijini Dar es...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL DIVAS WATOA MSAADA KWA WANAMAKE WASIOJIWEZA

Mgeni Rasmi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Kazi Services Ltd, Zuhura Muro (kushoto), huku akisaidiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kikundi cha Wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Divas’, Happy John wakikata keki kuashiria uzinduzi rasmi wa kikundi hicho, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katika uzinduzi huo, Airtel iliweza kukisadia Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel Divas watoa msaada kwa wanawake wasiojiweza

Umoja wa wafanyakazi wanawake wa Airtel ujulikanao kama Airtel Divas umejitoa kuwasaidia na Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu Tanzania (SWAUTA )  kilichopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi hao wa Airtel walifanya uzinduzi rasmi wa Airtel Divas  na kualika kikundi cha SWAUTA kuonyesha na kuuza bidhaa zao kwa wafanyakazi wa Airtel na kuwawezesha kupata fedha kwaajili ya kuwa na banda lao katika maonyesho ya 38 ya kimataifa  ya SABASABA.
Akiongea wakati wa uzinduzi huo...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATOA SHEHENA YA FUTARI KWA MAKUNDI YA WATU WASIOJIWEZA.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametoa shehena ya Futari ikiwemo Sukari, Mchele, Unga, Maharage na Mafuta kwa zaidi ya Watu 350 kutoka Makundi mbalimbali ikiwemo Yatima, Walemavu wa Viungo, Wasioona, Watu wenye ulemavu wa Ngozi Albino na Watu wasiojiweza kama sehemu ya sadaka ya Mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Katika Shehena hiyo aliyotoa RC Makonda kila Mwananchi amepata vifurushi vyenye Mchele Kilo 5, Unga kilo 5, Sukari, kiroba cha Maharage na Mafuta ya kupikia.

Msaada huo wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dkt. Magufuli alipotambulishwa kwa wazee wa Dar ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahma Kinana alipokuwa anawasili kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Jumatano Agosti 19, 2015  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Makamu wa Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg Philip Mangula alipowasili kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika ukumbi...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe atoa wito kwa Watanzania kuwasaidia watu wasiojiweza kwenye jamii

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb)  akimtazama kwa furaha mmoja wa watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Nyumba ya Furaha na Amani kilichopo Kigogo Mburahati, Jijini Dar es Salaam. Waziri Membe alikitembelea kituo hicho wakati wa Siku Kuu ya Pasaka. Mhe. Membe pamoja na Mkewe Mama Dorcas Membe wakipata maelezo juu ya watoto waishio katika kituo hich kutoka kwa Sista Mary Bakhita. Waziri Membe akitoa  msaada kwenye kituo hichoPicha zaidi BOFYA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani