Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Membe atoa wito kwa Watanzania kuwasaidia watu wasiojiweza kwenye jamii

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb)  akimtazama kwa furaha mmoja wa watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Nyumba ya Furaha na Amani kilichopo Kigogo Mburahati, Jijini Dar es Salaam. Waziri Membe alikitembelea kituo hicho wakati wa Siku Kuu ya Pasaka. Mhe. Membe pamoja na Mkewe Mama Dorcas Membe wakipata maelezo juu ya watoto waishio katika kituo hich kutoka kwa Sista Mary Bakhita. Waziri Membe akitoa  msaada kwenye kituo hichoPicha zaidi BOFYA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Watanzania watakiwa kusaidia watu wasiojiweza kwenye jamii

DSC_0006

 

Mhe. Membe pamoja na Mkewe Mama Dorcas Membe wakipata maelezo juu ya watoto waishio katika kituo hich kutoka kwa Sista Mary Bakhita.

  Waziri Membe akizungumaza wakati wa ziara yake kituoni hapo. Kulia ni Mama Dorcas Membe. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Paul Makonda akifuatiwa na Padri Timoth Maganga wa Kanisa Katoliki la Kigogo Mburahati.

Padri Timoth Maganga wa Kanisa Katoliki la Kigogo Mburahati akitoa shukrani zake za pekee kwa Waziri Membe kutembelea kituoni hapo.

 

10 years ago

Michuzi

WITO WATOLEWA KWA WATANZANIA KUJITOLEA KUWASAIDIA WATU WENYE UHITAJI IKIWEMO WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU


Baadhi ya wanalyalamo wakijumuika na watoto wa Kituo cha Yatima Group Trust Fund..
baadhi ya wanalyamo family katika picha ya pamoja na mkurugenzi mtendaji wa kituo hicho, Winfrida Lubanza(mwenye miwani na blauzi nyeusi)

WITO umetolewa kwa Watanzania nchini kujitolea kwa hali na mali usaidia watu wenye uhitaji ikiwemo watoto yatima wanaolelewa kwenye vituo mbalimbali. Wito huo umetolewa jana na mkurugenzi mtendaji wa kituo cha Yatima Group Trust Fund kilichopo Chanika, jijini Dar es Salam,...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATOA SHEHENA YA FUTARI KWA MAKUNDI YA WATU WASIOJIWEZA.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametoa shehena ya Futari ikiwemo Sukari, Mchele, Unga, Maharage na Mafuta kwa zaidi ya Watu 350 kutoka Makundi mbalimbali ikiwemo Yatima, Walemavu wa Viungo, Wasioona, Watu wenye ulemavu wa Ngozi Albino na Watu wasiojiweza kama sehemu ya sadaka ya Mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Katika Shehena hiyo aliyotoa RC Makonda kila Mwananchi amepata vifurushi vyenye Mchele Kilo 5, Unga kilo 5, Sukari, kiroba cha Maharage na Mafuta ya kupikia.

Msaada huo wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI NYALANDU ATOA WITO KWA VIONGOZI WA DINI KUHUSU KUKEMEA UJANGILI NCHINI.

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu
Na Anitha Jonas – Maelezo.03 Novemba, 2014.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu ametoa wito kwa Viongozi wa dini wote nchini kupaza sauti kwa pamoja kukemea vitendo vya Ujangili pamoja na Uharibifu wa mazingira nchini.
Wito huo ameutoa leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akifungua mkutano wa viongozi wa dini unaolenga kuwaelimisha viongozi hao kutoa elimu kwa waumini wao juu ya kupinga suala la ujangili na kuwasihi juu ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE ATOA RAI KWA MADHEHEBU KUOMBEA UADILIFU KWA VIONGOZI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) (wa pili  kulia), akiongozana na Rais wa Baraza Kuu la Makanisa ya Sabato Duniani,  Askofu Ted Wilson (wapili  kushoto),  Waziri wa Kilimo, Mhe. Stephen  Wassira (kushoto), pamoja  na  Mchungaji Blasius Luguri, Mwenyeji wa Kongamano la Kimataifa la Utume  kuingia katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Mhe. Membe alikuwa mgeni rasmi katika Sherehe za ufungaji Kongamano la Kimataifa la Utume kwa Kanisa la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wachezaji Madola wafanyie kazi wito wa Waziri Membe

JUMANNE wiki hii, wachezaji wa timu za taifa watakaoiwakilisha nchi katika michuano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika Julai mjini Glasgow, Scotland, walikabidhiwa bendera ya taifa ikiwa ni ishara ya kuwatakia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jamii yatakiwa kuwasaidia watoto waishio kwenye mazingira magumu

JAMII nchini imetakiwa kuona umuhimu na wajibu wa kuwalea na kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu ili waweze kufikia ndoto zao katika kimaisha. Ushauri huo umetolewa na Katibu Mtendaji wa...

 

11 years ago

GPL

NISHA AZIDI KUWASAIDIA WASIOJIWEZA

Nisha akiwa amebeba mzigo wa mchele, pembeni ni gari likiwa na mizigo mingine. Akiwa anagawanya kwa familia hizo.…

 

10 years ago

GPL

WOLPER ATOA MSAADA KWA WAZEE WASIOJIWEZA JIJINI DAR

Jacqueline Wopler (kushoto) akibeba mfuko wa sukari. Vyakula vilivyotolewa na Jacqueline Wolper katika kituo cha kulelea wazee wasiojiweza kituo cha  Msimbazi Centre  jijini Dar.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani