Airtel Divas yasaidia wanawake walemavu
UMOJA wa Wafanyakazi Wanawake wa Kampuni ya Airtel (Airtel Divas) umejitoa kusaidia Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu Tanzania (Swauta) kilichopo Kinondoni, Dar es Salaam. Wafanyakazi hao wa Airtel...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Airtel Divas yatembelea kikundi cha Sauti ya walemavu kwenye Maonyesho ya Biashara ya Sabasaba

11 years ago
GPLAIRTEL DIVAS YATEMBELEA KIKUNDI CHA SAUTI YA WALEMAVU KATIKA MAONYESHO YA BIASHARA YA SABASABA
11 years ago
Michuzi
Airtel Divas watoa msaada kwa wanawake wasiojiweza
Wafanyakazi hao wa Airtel walifanya uzinduzi rasmi wa Airtel Divas na kualika kikundi cha SWAUTA kuonyesha na kuuza bidhaa zao kwa wafanyakazi wa Airtel na kuwawezesha kupata fedha kwaajili ya kuwa na banda lao katika maonyesho ya 38 ya kimataifa ya SABASABA.
Akiongea wakati wa uzinduzi huo...
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
Airtel yasaidia wanawake wenye kansa
UMOJA wa wafanyakazi wanawake wa Airtel Tanzania unaofahamika kwa jina la ‘Airtel Divas’ wameandaa hafla ya kuchangisha fedha ili kusaidia kinamama wanaosumbuliwa na maradhi ya kansa katika Hospitali ya Ocean...
11 years ago
GPL
AIRTEL DIVAS WATOA MSAADA KWA WANAMAKE WASIOJIWEZA
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
CHADEMA Ukonga yasaidia walemavu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ukonga, Dar es Salaam kimekabidhi kikundi cha wenye ulemavu viti 24 vyenye thamani ya sh 360,0000. Akikabidhi viti hivyo hivi karibuni yalipo maskani ya...
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Msalaba Mwekundu yasaidia watoto walemavu
CHAMA cha Msalaba Mwekundu (Red Cross) Manispaa ya Temeke, kimetoa zaidi ya jozi 900 za viatu na sabuni za kuogea na kufulia kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi na viungo....
11 years ago
Tanzania Daima07 Mar
Airtel yasaidia samani Polisi Oysterbay
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imeendelea kuunga mkono serikali kupitia Jeshi la Polisi Usalama Barabarani kwa kuwapatia vifaa vya ofisi kwa ajili ya Kituo cha Usalama Barabarani...
11 years ago
Michuzi
Airtel yasaidia Afya ya Uzazi kupitia kampeni ya Wazazi Nipendeni
