Airtel yasaidia Afya ya Uzazi kupitia kampeni ya Wazazi Nipendeni
![](http://2.bp.blogspot.com/-hjn3-Qp4HMU/Uzs0BJd239I/AAAAAAACdx4/qsunFbsZhdU/s72-c/Airtel.jpg)
Airtel Tanzania imetangaza kuendelea kushirikiana na M-Heath Tanzania katika Kampeni ya Wazazi nipendeni baada ya kuwa na ushirikiano wa mwaka mmoja wenye mafanikio makubwa katika kuwasaidia kina mama wajawazito na watoto wachanga
Akiongea kuhusu mpango huo Meneja huduma kwa jamii Hawa Bayumi alisema” katika kutambua umuhimu na changamoto zinazoikumba sekta ya Afya ya uzazi, Airtel tumeonelea ni vyema tukashirikia na wenzetu wa M- Health katika kuwawezesha kina mama wajawazito kupata...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuziuzinduzi wa kampeni ya awamu ya pili ya wazazi nipendeni
10 years ago
MichuziUZINDUZI WA KAMPENI YA AWAMU YA PILI YA WAZAZI NIPENDENI WAFANYIKA DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
Dewji Blog24 Jul
Kampeni ya ‘Wazazi Nipendeni’ kuzinduliwa rasmi leo viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar
Mshauri wa masuala ya Malaria kutoka Taasisi ya Jhpiego, Jasmin Chadewa (kushoto), akitoa huduma ya kumpa dawa ya vitamini A, mtoto Rahim Simai, viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi ikiwa ni utoaji huduma wa elimu ya afya kwa wajawazito na matumizi ya dawa aina ya SP, upimaji wa malaria pamoja na matumizi ya vyandarua kama muendelezo wa huduma za afya ya mama mjamzito na mtoto kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili wa Kampeni ya Wazazi Nipendeni utakaofanyika kesho katika...
10 years ago
MichuziUZINDUZI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI AWAMU YA PILI WAFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog25 Jul
Uzinduzi wa kampeni ya ‘Wazazi Nipendeni’ awamu ya pili wafanyika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Neema Rusibamayila kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo Dk. Seif Rashid (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya Wazazi Nipendeni awamu ya pili katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam jana mchana. Wa kwanza kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), Anna Bodipo Memba na wa pili kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magema.
10 years ago
VijimamboUZINDUZI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI AWAMU YA PILI WAFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
Tanzania Daima11 Sep
KCB yachangia kampeni afya ya uzazi
BENKI ya Biashara ya Kenya (KCB), imechangia sh milioni 48 ili kusomesha wakunga 10 kwa ajili ya kuokoa afya ya mama na mtoto. Uchangiaji huo unakwenda sambamba na mikakati ya...
10 years ago
VijimamboUZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI NI KESHO VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR ES SALAAM MAANDALIZI YAMEKAMILIKA WANA MUZIKI LULUKI KUTOA BURUDANI WANDUGU SAIDIA TUTANI UZINDUZI RASMI NI KESHO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6ZGyqJpi*tUj-gV3zObz9dqUt5eadYNsHwegY5-LGqTnL-IfAvHmdOIvtUilj2JcAj2BNelblsIu-4E4lPA*RPZ/1.jpg?width=650)
WATEJA WA AIRTEL KULIPA MIKOPO YA MASOMO KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY