Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi wa Airtel watoa msaada hospitali ya Ocean Road

Mwenyekiti wa kikundi cha wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Diva’, Amitin Mbamba (kulia), akikabidhi msaada wa machela za kisasa mbili, ‘wheel chair’ mbili na bidhaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya milioni 5/-, kwa Muuguzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Mary Haule, kwaajili ya matumizi ya wagongwa katika taasisi hiyo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia ni wanachama wa Airtel Diva. Mwenyekiti wa kikundi cha wanawake wafanyakazi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyakazi Airtel watoa msaada Ocean Road

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kupitia Umoja wa Wanawake ujulikanao kama ‘Airtel Divas’ umetoa msaada wa vifaa vya hospitali kwa ajili ya wagonjwa wanaosumbuliwa na magonjwa ya...

 

5 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Benki ya NMB Waisaidia Hospitali ya Ocean Road

Benki ya NMB wakati wote inaamini katika kugusa na kubadili maisha ya wanajamii, ushiriki wa Wafanyakazi katika programu za kuisaidia jamii umeongezeka maradufu ukichangiwa zaidi na ari waliyonayo kutaka kupunguza changamoto na kero zilizopo kwenye jamii inayowazunguka na wanayoihudumia.Kaimu Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Seka Urio (kushoto) akimkabidhi vifaa vya Hospitali Kaimu Mkurugenzi wa Tiba wa Taasisi ya Ocean Road , Dk. Asafu Munema ikiwa ni michango ya wafanyakazi wa Benki...

 

10 years ago

Michuzi

Kampuni ya TTCL yatoa msaada Hospitali ya Ocean Road

Mkuu wa Huduma kwa wateja wa kampuni ya TTCL, Laibu Leonard (wa kwanza kulia) akimkabidhi baadhi ya misaada Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road, Marry Haule (nguo ya bluu) waliyoitoa kwa wagonjwa. Wengine ni maofisa wa TTCL. Mkuu wa Huduma kwa wateja wa kampuni ya TTCL, Laibu Leonard (wa kwanza kulia) akimkabidhi baadhi ya misaada Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road, Marry Haule (nguo ya bluu) waliyoitoa kwa wagonjwa. Wengine ni maofisa wa TTCL.Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakishusha bidhaa mbalimbali ambazo wamezitoa kama msaada kwa wagonjwa wa kansa Hospitalini hapo. Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakishusha bidhaa mbalimbali ambazo wamezitoa kama msaada kwa wagonjwa wa kansa Hospitalini hapo.Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road, Marry Haule (nguo ya bluu) akishukuru TTCL mara baada ya kukabidhiwa msaada huo. Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road, Marry Haule (nguo ya bluu) akishukuru TTCL mara baada ya kukabidhiwa msaada...

 

5 years ago

Michuzi

Wafanyakazi Wanawake wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii watoa msaada wa vifaa tiba Hospitali ya Palestina

Mkuu Taasisi ya Ustawi wa Jamii Dkt.Joyce Nyoni akiwa katika picha ya pamoja katika maadhimisho ya siku ya wanawake yaliyofanyika katika viwanja vya Leader’s Club jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Taasisi wa Ustawi wa Jamii Dkt.Joyce Nyoni akimkabidhi moja kifaa tiba Mratibu wa Huduma Tiba wa Hospitali ya Palestina-Sinza Dkt.Nchang’wa Nhumba wakati walipokwenda kutoa msaada wa vifaa tiba mbalimbali ikiwa ni maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani.Mkuu wa Taasisi wa Ustawi wa Jamii Dkt.Joyce...

 

11 years ago

Mwananchi

Kashfa Hospitali ya Ocean Road

Kashfa imeikumba Hospitali ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) kutokana na tuhuma za mmoja wa wauguzi wake kumuuzia dawa ‘feki’ mgonjwa ambaye anaendelea kupatiwa matibabu katika taasisi hiyo ya Serikali.

 

10 years ago

Michuzi

UWF YATOA MSAADA OCEAN ROAD SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

 Mwenyekiti wa Unity Women Foundation (UWF), Maryam Ajmy akiwa akikusanya misaada waliyokuwa wakitoa katika hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam kutoa msaada kwa wanawake ikiwa ni kuadhimisha siku ya wanawake duniani iliyofanyika hivi karibuni.  
Mwenyekiti wa Unity Women Foundation (UWF), Maryam Ajmy akiwa na wanaumoja wenzake wakiingia hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam kutoa msaada kwa wanawake ikiwa ni kuadhimisha siku ya wanawake duniani iliyofanyika hivi karibuni....

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Ummy Mwalimu amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Ocean Road

Ocean Road Cancer Institute, acting chief executive officer, Diwani Msemo speaks at press conference in Dar es Salaam yesterday. 44,000 Tanzanians are diagnosed with cancer disease every year but only 8800 stands a good chance of being full cured. PHOTO| SALIM SHAO

Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dkt. Diwani Msemo.

 

10 years ago

GPL

UWF YATOA MSAADA OCEAN ROAD SIKU YA WANAWAKE DUNIANI‏

  Mwenyekiti wa Unity Women Foundation (UWF), Maryam Ajmy akiwa akikusanya misaada waliyokuwa wakitoa katika hospitali ya Ocean Road jijini Dar es…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani