Kampuni ya TTCL yatoa msaada Hospitali ya Ocean Road
Mkuu wa Huduma kwa wateja wa kampuni ya TTCL, Laibu Leonard (wa kwanza kulia) akimkabidhi baadhi ya misaada Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road, Marry Haule (nguo ya bluu) waliyoitoa kwa wagonjwa. Wengine ni maofisa wa TTCL.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakishusha bidhaa mbalimbali ambazo wamezitoa kama msaada kwa wagonjwa wa kansa Hospitalini hapo.
Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road, Marry Haule (nguo ya bluu) akishukuru TTCL mara baada ya kukabidhiwa msaada...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Wafanyakazi wa Airtel watoa msaada hospitali ya Ocean Road


10 years ago
Michuzi
UWF YATOA MSAADA OCEAN ROAD SIKU YA WANAWAKE DUNIANI




10 years ago
GPL
UWF YATOA MSAADA OCEAN ROAD SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
10 years ago
Vijimambo04 Apr
Kampuni ya TTCL yatoa msaada kituo cha watoto yatima Chamazi


10 years ago
Dewji Blog16 Feb
Kampuni ya Tigo yatoa msaada Hospitali ya Tengeru Mkoani Arusha
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini Bw. David Charles (mwenye miwani kichwani) akiongoza wafanyakazi wenzake wa Kampuni ya Tigo kutoa msaada kwa wagonjwa wa Hospitali ya Tengeru kwenye siku ya Wapendanao mwishoni mwa wiki Mkoani Arusha.
Meneja wa Uwajibikaji kwa Jamii wa Tigo Bi.Woinde Shisael akikabidhi msaada kwa mgonjwa Bi.Elizabeth Swai ikiwa ni sehemu ya msaada uliyotolewa na Kampuni ya Tigo siku ya Wapendanao (Valentine Day) kwenye Hospitali ya Tengeru Mkoani Arusha mwishoni...
10 years ago
Dewji Blog17 Aug
Kampuni ya Tigo yatoa msaada Hospitali ya rufaa ya Ligula mkoani Mtwara
Meneja wa kampuni ya Tigo kanda ya Kusini, Lilian Mwalongo (kulia) akizungumza na waandishi na uongozi wa hospitali ya Rufaa ya Ligula mkoani Mtwara wakati wa kukabidhi msaada wa vyandarua 1,000 vyenye thamani ya milioni 15,Akiyekaa(katikati) ni Kaimu mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Alfred Luanda na (kushoto) Mganga mkuu wa mkoa , Dk.Shaibu Maarifa.
10 years ago
Dewji Blog19 May
Kampuni ya Tigo yatoa msaada wa Kompyuta hospitali ya Sekou Toure jijini Mwanza
Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akimkabidhi Mkuu wa wilaya Nyamagana, Mhe. Baraka Konisaga, moja ya kompyuta 25 zilizotolewa msaada na kampuni ya Tigo kwa hospitali ya Sekou Toure Mkoani Mwanza leo asubuhi.
Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mhe. Baraka Konisaga akizungumza jambo na Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez, katikati ni Mwenyekeiti wa bodi ya hospitali ya Sekou Toure Mkoani Mwanza Christopher Mwita Gachuma mara baada ya kukabidhi komputa 25 kwa hospitali hiyo.
Meneja Mkuu wa Tigo...
11 years ago
Mwananchi13 May
Kashfa Hospitali ya Ocean Road
5 years ago
Michuzi
Wafanyakazi wa Benki ya NMB Waisaidia Hospitali ya Ocean Road
