Kampuni ya TTCL yatoa msaada kituo cha watoto yatima Chamazi
Baadhi ya watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund' wakibeba sehemu ya msaada uliyotolewa kwao na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwa kituo hicho ikiwa ni maandalizi ya Siku Kuu ya Pasaka
Meneja wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoa wa Dar es Salaam Kusini, Adolf Matondo (kulia) akikabidhi sehemu ya msaada kwa kwa mmoja wa walezi wa watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi04 Apr
TTCL yatoa msaada kituo cha watoto yatima Chamazi


11 years ago
MichuziKAMPUNI YA EXCEL YATOA MSAADA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA DAR
New Life Orphanage Home kilianzishwa Magomeni mwaka 1998 Kwa lengo la kusaidia watoto yatima, na kilianza na watoto 18 tu. New Life Orphanage Home kimefanikiwa kufungua kituo kikubwa zaidi Kigogo iliopo wilaya ya Kinondoni na kuwa...
5 years ago
Michuzi
TCRA Kanda ya Mashariki yatoa msaada kwa Kituo Cha Watoto Yatima

Mwakilishi wa Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Vaolet Eseko akimkabidhi msaada kwa niaba ya Mkuu wa Kanda hiyo Mhandisi Lawi Odiero wa Vitakasa Mikono pamoja bidhaa za vyakula Mkurugenzi wa Kituo Cha Watoto Yatima Cha New Home Orphan Kilichopo Boko Jijini Dar es Salaam.
**********************************
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki imetoa msaada wa vitu mbalimbali katika Kituo cha Watoto Yatima Cha New Home Orphan Kilichopo...
10 years ago
GPLGLOBAL YATOA MSAADA KWENYE KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHAKWAMA
9 years ago
Dewji Blog26 Dec
Kampuni ya Tigo yatoa misaada kituo cha kulelea watoto yatima cha Mugeza Mseto Manispaa ya Bukoba
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Ali Maswanya akikabidhi misaada mbalimbali Mwenyekiti wa kamati ya shule ya kulelea watoto yatima cha Mugeza Mseto Manispaa ya Bukoba Bi. Evelyne Mwijage juzi. Kampuni ya Tigo ilitoa misaada kwenye kituo hicho.
5 years ago
Michuzi
TAASISI YA TUMAINI LA MTOTO YATOA ELIMU, MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHUKUWAMA
Akitoa elimu kwa watoto wa kituo hicho Mkurugenzi Taasisi ya Tumaini la Mtoto, Maziku Kuwandu amesema kuwa Watoto waliopo kwenye vituo vyao vya kulelewa wamekuwa hawapati elimu ya kujikinga na Virusi vya Corona (Covid 19) ndio maana wachukua fursa hiyo kuwapa elimu watoto hao.
"Taasisi ya Tumaini la Mtoto kupitia...
10 years ago
Bongo520 Dec
Picha: Mkubwa na Wanawe yatoa msaada kwa kituo cha watoto yatima Temeke
10 years ago
Michuzi.jpg)
High Class Look na Mkubwa na Wanawe Yatoa Msaada kwa kituo cha Watoto Yatima temeke
10 years ago
Vijimambo07 Jul
Kampuni ya TTCL yasaidia mifuko ya saruji kituo cha yatima



Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10