TTCL yatoa msaada kituo cha watoto yatima Chamazi
Meneja wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoa wa Dar es Salaam Kusini, Adolf Matondo (kulia) akikabidhi sehemu ya msaada kwa kwa mmoja wa walezi wa watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund'.
Baadhi ya watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund' wakibeba sehemu ya msaada uliyotolewa kwao na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwa kituo hicho ikiwa ni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo04 Apr
Kampuni ya TTCL yatoa msaada kituo cha watoto yatima Chamazi
![Baadhi ya watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund' wakibeba sehemu ya msaada uliyotolewa kwao na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwa kituo hicho ikiwa ni maandalizi ya Siku Kuu ya Pasaka.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_0129.jpg)
![Meneja wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoa wa Dar es Salaam Kusini, Adolf Matondo (kulia) akikabidhi sehemu ya msaada kwa kwa mmoja wa walezi wa watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund'.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_0095.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-U_ugP0RE2V4/XozDVmkWvpI/AAAAAAALmbQ/7iGNFAGa5jIZWkn8RFafmwTUYM7K0S2xQCLcBGAsYHQ/s72-c/a6a54688-48d6-4e35-8edd-637c0fd94e1b.jpg)
TCRA Kanda ya Mashariki yatoa msaada kwa Kituo Cha Watoto Yatima
![](https://1.bp.blogspot.com/-U_ugP0RE2V4/XozDVmkWvpI/AAAAAAALmbQ/7iGNFAGa5jIZWkn8RFafmwTUYM7K0S2xQCLcBGAsYHQ/s640/a6a54688-48d6-4e35-8edd-637c0fd94e1b.jpg)
Mwakilishi wa Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Vaolet Eseko akimkabidhi msaada kwa niaba ya Mkuu wa Kanda hiyo Mhandisi Lawi Odiero wa Vitakasa Mikono pamoja bidhaa za vyakula Mkurugenzi wa Kituo Cha Watoto Yatima Cha New Home Orphan Kilichopo Boko Jijini Dar es Salaam.
**********************************
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki imetoa msaada wa vitu mbalimbali katika Kituo cha Watoto Yatima Cha New Home Orphan Kilichopo...
10 years ago
GPLGLOBAL YATOA MSAADA KWENYE KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHAKWAMA
11 years ago
MichuziKAMPUNI YA EXCEL YATOA MSAADA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA DAR
New Life Orphanage Home kilianzishwa Magomeni mwaka 1998 Kwa lengo la kusaidia watoto yatima, na kilianza na watoto 18 tu. New Life Orphanage Home kimefanikiwa kufungua kituo kikubwa zaidi Kigogo iliopo wilaya ya Kinondoni na kuwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-R3zFIpey3ps/XrbS-zNaMyI/AAAAAAALpmw/-GZeZ0lszT83SIKQeMybc66coSqaqnh6wCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-09%2Bat%2B1.47.27%2BPM.jpeg)
TAASISI YA TUMAINI LA MTOTO YATOA ELIMU, MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHUKUWAMA
Akitoa elimu kwa watoto wa kituo hicho Mkurugenzi Taasisi ya Tumaini la Mtoto, Maziku Kuwandu amesema kuwa Watoto waliopo kwenye vituo vyao vya kulelewa wamekuwa hawapati elimu ya kujikinga na Virusi vya Corona (Covid 19) ndio maana wachukua fursa hiyo kuwapa elimu watoto hao.
"Taasisi ya Tumaini la Mtoto kupitia...
10 years ago
Bongo520 Dec
Picha: Mkubwa na Wanawe yatoa msaada kwa kituo cha watoto yatima Temeke
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Dahwl0tvOFM/VJWMKIVa1YI/AAAAAAAG4pM/9X-vL1knejo/s72-c/unnamed%2B(17).jpg)
High Class Look na Mkubwa na Wanawe Yatoa Msaada kwa kituo cha Watoto Yatima temeke
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bJpdqsysa9Q/Xsta_d5GBJI/AAAAAAALrc4/ZmqWZK3oIZornlKss_dwsxJYBiLCqookwCLcBGAsYHQ/s72-c/1%2B.jpg)
QNET YATOA MSAADA WA CHAKULA NA VITU VINGINE KWENYE KITUO CHA KULELEA YATIMA CHA MAZIZINI
· NI SEHEMU YA MPANGO WA KUSAIDIA JAMII KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI
Tarehe 24, Mei 2020, Zanzibar QNET, kampuni ya mauzo ya moja kwa moja inayoongoza yenye asili ya Asia imetoa msaada wa magunia ya vyakula, galoni za mafuta ya kupikia, vifaa vya usafi, vinywaji baridi na vitakasa mikono (sanitizers) kwenye nyumba ya kulelea yatima ya Mazizini Zanzibar. Hizi ni jitihada za mwezi mtukufu wa ramadhani zenye lengo la kuboresha maisha ya walio wengi na inaendana na falsafa ya kampuni ya...
10 years ago
VijimamboMAJAJI WA BONGO STAR SEARCH WATEMBELEA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA NA KUTOA MSAADA